Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

Sijawahi kusikia "mazishi ya kifahari" kwa Waislam.

Halafu nakushauri kuwa wachana na mambo ya kufatilia ya watu, huyajuwi. Wewe fata yako na familia yako. Ya Diamond na familia yake yatakusaidia nini?

Unajuwaje nani atatangulia?
Kajambe kule wewe bibi shika adabu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point yanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamama tunakuwaga na fitina sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Diamond ndo anavaa, wee anza kupitia picha zake mitandaoni kisha uje utuambie kama Diamond ni Muslam
Kuvaa msalaba hakukutoi kwenye Uislam. Si kigezo cha kutoka kwenye Uislam.
 
Hiyo tofauti naielewa sana mkuu. Katika jamii yetu haya mambo ya kutia mimba na kula Kona hayakuwepo huko nyuma, nazungumzia kizazi cha miaka ya 80s kwenda juu. Kina baba walikuwa hawakimbii majukumu kwa sababu ilikuwa ni Aibu kwa jamii. Hata ikitokea kwa kesi chache za kina baba waliokimbia majukumu yao kimalezi ya familia basi ndugu wa upande wa Baba mara nyingi walichukua jukumu la kujitwisha majukumu hayo. Mifano iko mingi katika familia na jamii iliyotuzunguka.

Hata huyo uliyemuita "Sperm donor" bado ni baba tu. Maana bila kuchangia hizo "Sperm" zake za Mama peke yake sizingejitosheleza kuleta kiumbe duniani.
Wanaume kwa asilimia kubwa sana huwa tunaweka/tunahifadhi mambo mazito sana katika vifua vyetu na ndio maana huwa tunakufa mapema sana ukilinganisha na Wanawake.

Kuna kesi moja ilitokea Zambia au Malawi kama sijakosea, jamaa alikuwa na Mke wake na walibahatika kupata watoto wanne (4). Yule bwana aliwajali kwa kuwapa matunzo bora na kuwasomesha wale watoto katika Shule bora kabisa za pesa nyingi. Mwisho wa siku kulitokea mfarakano katika ndoa, mwanamke alifumaniwa. Jamaa akachukua uamuzi wa kufanya DNA ya watoto wake. Kilichotokea ni AIBU.
Jamaa alichukua Begi lake la nguo tu na kuondoka. Wanaume tunapitia mengi sana sana ila ndio hivyo hatuna mtetezi wala msemaji. Tunakufa na Tai shingoni.
 
Hapo hapo Diamond endelea kukaza hivyo hivyo, haiwezekani usababishe Mimba halafu utelekeze au ukatae kulea.Mfano mimi nilipata kusimuliwa kuwa baba ako alichomoa mimba eti kisa ana mke wake (nimekuwa mali ya babu na bibi mzaa Mama).Nashangaa eti mtu anajitokeza alivyosikia niko nachukua Shahada yangu,,,,,,,yaaani upo above 20yrs ndiyo unamsikia baba.Hapo bora niendelee kuwa sina baba wala mashangazi,,,,,mbona Mungu amesaidia miaka yote hiyo bila yeye.
 
ubalikiwe umetusema sana
 
Hii sms ni bora tena naipa nafasi ya kwanza hasa kwa kuelezea ujumbe mkubwa mno.

Hongera sana Kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…