mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
- Thread starter
- #81
Kajambe kule wewe bibi shika adabu yakoSijawahi kusikia "mazishi ya kifahari" kwa Waislam.
Halafu nakushauri kuwa wachana na mambo ya kufatilia ya watu, huyajuwi. Wewe fata yako na familia yako. Ya Diamond na familia yake yatakusaidia nini?
Unajuwaje nani atatangulia?
Sent using Jamii Forums mobile app