Msishangae Makonda akiteuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

Tanzania ni nchi ya Kifalme,akitakacho Mfalme ndicho huwa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
CCM wanahitaji ffu, washawasha, vitoa machoz, rpc na mkurugenzi, nec kupata ushindi
Alafu kitu watu hawajui ni kuwa Tanzania siyo nchi ya Kidemokrasia, Tanzania ni nchi ya Kifalme.Ata kura tunazopiga ni hewa tu.
Ni kama ilivyokuwa Kenya kabla ya kuiondoa KANU madarakani na baadaye kuandika katiba mpya na kuachana na Utawala wa Kifalme kwa mujibu wa katiba ya Kikoloni.
Huku Kusini mwa Jangwa la Sahara nchi za Kifalme ni Uganda,Tanzania,Rwanda,Zimbabwe na Mozambique nk.
Hivyo vyama vingi ni geresha tu,Wanyeviti wao wanajua wanafanya nini kulinda ufalme!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Sasa nchi hii Kuna vyama vya upinzani mpaka ccm ihangaike na hivyo vyeo? Hata visipokuwepo Bado ccm inashinda nchi nzima. Nyie vyadema ndo mhangaike na hivyo vyeo ili angalau muambulie kitu kimoja
 
Mbona unatafuta kutukanwa tu ndugu? Yaani bado unamuwazia huyo Nyamitako Makonda kwenye utawala wa Tanzania?
 

Nakubaliana na mtazamo wako kwa bongo na baadhi ya hizo nchi ulizotaja.

Tofauti ni kwamba tunaenda na chama tawala zaidi badala ya ukoo wa damu ya kifalme( royal and noble families).


Kwa ufupi tu ni kuwa vyama tawala vyenye mirengo ya kushoto dunia yote vinaendeleza tu ubwanyenye ambao Marx na wafuasi wake wa kiitikadi walidhania ushapita.

Hilo halina ubishi.

Vyama tawala vyenye asili ya ujamaa au kupigania uhuru toka ukoloni vimejigeuza kuwa noble families za kibwanyenye.

Sema tu viongozi wao wengi ni walafi kama Jeta, mfalme wa Majuju hivyo hawataweza kujiimarisha kwa muda mrefu.

Alafu ukabaila dunia ya leo ni ujima tu hivyo watasumbua kwa muda mfupi tu kabla ya kugeuzwa kuwa mavumbi ya historia.
 
Kalemani anafaa kuwa PM ni mfuatiliaji mzuri sn pamoja na mapungufu ya kibinadamu lakini jamaa anakubalika sn
 
Makonda alitakiwa awe mahakamani au jela na sio kwingine popote. Kwa kweli adui UJINGA bado yupo sana Tanzania. Yaani mtu aliyetajwa hadi na mabeberu kuwa anahusika kuua watu lakini bado anajitokeza mtu mjinga na kutaka eti awe kiongozi mkubwa wa chama tawala. Mwenyekiti wa CCM sio wa CHADEMA kwamba amteue mtu aliyewahi kuchafuka kiasi kile. CHADEMA peke yao ndo wanaweza kumwita mtu fisadi kwa miaka 10 halafu wakamteua kuwa mgombea wao wa urais.
 
Baada ya Mkama Katibu Mkuu CCM anayefuata Kwa ubovu ni Chongolo.
 
Huyuhuyu alikatazaga watu kwenda Dasalamu?
 
Umenena Mkuu, mahali anapostahili kuwapo Makonda ni jela tu. Kitakachomuokoa Makonda kutokwenda jela ni kifo tu. Jinai alizofanya hazizeeki wala haziozi, ni suala la muda tu
 
kachukue posho yako toka kwa mishuzi
 
Makonda ni takataka chafu
 

Kwa Sasa hata Kinaan mwenyewe Hana mvuto sembuse Makonda na Nchimbi. Tena bora Makonda kidogo, huyo Nchimbi ndio hamna kabisa.
 

Wewe ongelea CCM mambo ya vyama vya upinzani achana navyo hasa CHADEMA.
 
Sasa nchi hii Kuna vyama vya upinzani mpaka ccm ihangaike na hivyo vyeo? Hata visipokuwepo Bado ccm inashinda nchi nzima. Nyie vyadema ndo mhangaike na hivyo vyeo ili angalau muambulie kitu kimoja

Punguza unafiki na uoga. Mtu anaongelea CCM Kama chama ila kwa unafiki wako unaitaja CHADEMA.
 
Kama wamelenga kura za washamba wasukuma kwa kumteua Dotto Biteko wamechemka.Dotto hana ushawishi wowote na isitoshe wanasena ni mtutsi yule CCM wajipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…