Msishangae Makonda akiteuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

Tanzania ni nchi ya Ajabu sana ! yaani hadi Makonda anaweza kuwa na Chawa !
Makonda ni jasiri sana. Ndio maana aliwapoteza CHADEMA mtandao wa mawasiliano kichwani mwenu. Ngoja aje awanyooshe uone kama hujaenda kujificha Desderia Hotel 😄😄😄😄
 
Chama kimefika tamati yani wako hoi kuliko wauzaji wa kimboka...chama chakavu dhooful hali hata mumlete odinga bado hakuna jipya.
Yani mpka jumuiya ya wasimbe sugu nao wamechajua single maza kweli 2025 mtatema ulimi na koromeo
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Binafsi siwezi Kushangaa kwa kuwa makonda ni mtu aliyekomaa kisiasa na mwenye uthubutu. Makonda lazima ujue anawaza nini siyo wengine wengi ambao hatujui vichwani mwao kuna picha gani ya vitu watakavyofanya wakipewa nafasi.

Uteuzi wowote wa Makonda unafaa. Hata alipopigwa chini kwa kutaka kufuatilia ndoto zake, amekaa kimya. Hii ni busara sana.

Ushauri wangu kwake ni awe na heshima na kuongea kwa mipaka basi.
 
Makonda ni jasiri sana. Ndio maana aliwapoteza CHADEMA mtandao wa mawasiliano kichwani mwenu. Ngoja aje awanyooshe uone kama hujaenda kujificha Desderia Hotel 😄😄😄😄

Makonda yupi?. Bashite?. Huyu aliyepigwa Chini kwenye ubunge CCM nchi nzima ikafurahi?. Makonda alitumia madaraka yake dhidi ya CHADEMA ila mwisho wa siku akarudi uraiani na CHADEMA inaendelea.
 
Chadema inaendelea kufanya nini?
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
🤣🤣
 
"Kamati kuu ya CCM iliyoketi kwa dharula Kisiwa Ndui kwa pamoja iliazikia kwa kauli moja" imesema sehemu ya taarifa hiyo
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Kwani ni lini Makonda alitolewa serikalini au kwenye chama cha CCM?
 
Duuuuh watu walikua na maono balaa
 
Akiba ya maneno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…