Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

medisonmuta

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
2,400
Reaction score
1,424
Msishangae wakristo asilimia ya wengi humu kumtukana Mungu, kwani mtume wao Paulo alishawafundisha zamani.
Kitu chochote chenye upumbavu maana yake hakina hekima ndani yake.
Sifa ya udhaifu hawezi kuwa nayo Mungu bali viumbe wake. Msiwashangae wanavyotoa povu kwani kitabu chao kimewafundisha mambo ya namna hii.

1 Wakorintho 1:25​

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Hivi ni kweli huelewi au umekaza kichwa mbona tafsiri yake iko waz sana?
 
Unamzungumzia mungu aliyekuwa anamtuma jibreel kumkaba muhammad mapangoni?
 
1 Wakorintho 1:18‭-‬29
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa. Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi mwandishi? Yuko wapi mleta hoja wa nyakati hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu? Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa lile neno linalohubiriwa. Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima; bali sisi tunamhubiri Kristo, aliyesulubiwa; kwa Wayahudi ni kikwazo, na kwa Wagiriki ni upuzi; bali kwao waitwao, Wayahudi kwa Wagiriki, ni Kristo, nguvu ya Mungu, na hekima ya Mungu. Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu. Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa; bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko; mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
 
Huna akili, huna hekma, huna busara, huna upeo wa kufikiri hujui nini maana ya maandiko. Hujui jinsi watu walivyokua wakiandika maandiko wanayatoa wapi. Halafu unakuja unatoa andiko ambalo hujaeliewa sio uhoji maana na mantiki yaneno unapayuka2 ng'eng'eng'eng'e. mwehu we
 
Asante kutujulisha kuwa Biblia huwa unaisoma vizuri tu kikubwa jitahidi kuelewa kilichoandikwa
 
Kama huna Elimu ya kutosha ya Mambo ya Rohoni huwezi kuzielewa nyaraka za Mtume Paulo
(2Petro3:15-16)
Vinginevyo utakuwa unapoteza muda kuwaza eti Paulo alimtukana Mungu,kumbe mwenzako alishamaliza kazi ya Kuhubiri Injili ya Kristo na sasa Yuko Peponi amepumzika na anangoja Taji ya Haki,
(2Timotheo4:7-8)
 
Ndugu yangu tunanafasi ya kujifunza
Karibu tuendelee na mafundisho wengi wamepotea kwa kukosa maarifa sahihi ya kimungu
Nabii Hosea anaandika "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
1 Wakorintho 1:18‭-‬29
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa. Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi mwandishi? Yuko wapi mleta hoja wa nyakati hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu? Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa lile neno linalohubiriwa. Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima; bali sisi tunamhubiri Kristo, aliyesulubiwa; kwa Wayahudi ni kikwazo, na kwa Wagiriki ni upuzi; bali kwao waitwao, Wayahudi kwa Wagiriki, ni Kristo, nguvu ya Mungu, na hekima ya Mungu. Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu. Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa; bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko; mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
Imeandikwa;

Mathayo 7:6.

"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua".

Ukilisoma na kulielewa vizuri hilo andiko hapo juu, utamtambua mleta mada ni sawa na nguruwe, huyu hataki kuelewa chochote utakachomwambia, lulu ni maandiko unayompa ambayo mengi hayafahamu maana yake, matokeo yake anayakanyaga chini ya miguu yake, na usipokuwa makini, atakugeukia aanze kukutukana [kukurarua].

Ushauri wangu kwako, muache.
 
Hivi ni kweli huelewi au umekaza kichwa mbona tafsiri yake iko waz sana?
Kwa mfano... Hebu jaribu kamwambie baba yako UPUMBAVU WAKO NI HEKIMA KWANGU... alafu uone nini kitatokea...
 
UNAJUA KWANINI WAKRISTO WANAKATAZWA NA VIONGOZI WAO WASIJADILIANE KUHUSU DINI YAO NA WAISLAAM? WANAJIFANYA ETI WANAOGOPA KUGOMBANA KISA DINI!

NI KWA SABABU WANAJUA WAZI... HAWANA HOJA ZILIZOWAZI NA ZA KUTOSHA ZA KUWATHIBITISHIA UKWELI NA UHAKIKA WA DINI YAO...

ETI WANASEMA BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU... HEBU WATUPE ANDIKO LOLOTE KWENYE BIBLIA LINATAJA PASI NA SHAKA KUWA "BIBLIA NI KITABU CHANGU MUNGU"...

SISI KWENYE QURAN LIPO ANDIKO LINALOTHIBITISHA NA KUSEMA QURAN NI KITABU CHA MUNGU...
 
Katika watu ambao maandiko yao yamekaa kiujanja ujanja ni paulo jamaa hana maneno mazuri kwanza aliuwa sana wafuasi wakristo akajifanya ametokewa na yesu kumbe mzushi tu maandiko yake mengi yakuungaunga na yana utata huyu jamaa anaifanya biblia ionekane dhaifu sana
 
basi naona bora nihamie dini ya waislamu nikatoe shahada niwe muislamu
 
Back
Top Bottom