Msitusumbue nyie si ndio mlichagua CCM kwa kishindo 2020?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Malalamiko Mara tozo Mara sijui umeme kukatika mafuta kupanda tusisumbuane.

Watanzania ndio tatizo zaidi siku za uchaguzi zikifika mnajifanya hamnazo hampigi kura na wengine mkipiga mnapigia ccm upuuzi.

Acheni kulia lia sasa haya matozo na ujinga ujinga wote unao endelea ni zao la ilani ya ccm Tatizo hatusomi ilani za vyama na kuzielewa.

Tundu Lissu kwa muda mchache wa miezi 2 aliyopiga kampeni alijaribu kutoa elimu ya uraia lakini wabongo wapi wakawa wanamtukana.

Aliyoyasema yote ndio yanayoendelea kuhusu ufisadi, mfumuko wa bei utawala wa kishikaji kutawala watu baada ya kuongoza watu.

Acha tu Mama Samia apae aende ulaya kumzika malikia kwa pesa zenu za tozo huku mikoa karibia 15 ukiwa inapishana kwa mgao wa umeme.

Hakuna update yeyote juu ya bwawa la Mwalimu nyerere.

Makamba yupoyupo tu nchi inaanguka kwenye nishati watu wapo busy na mwigulu Ila niwaambie Makamba ni tatizo kuliko Mwagulu na soon ile biashara ya Generators imeanza tena.

Ccm haijawai kuwa serious kuongoza hili taifa na Kama hamtaki iondoke msilalamike pigeni kimya.

Ongeza tozo za Gest, Condom, weka tozo kila sehemu maana sikio la kufa halisikii dawa.
 
Hakuna update yeyote huu ya bwawa la Mwalimu nyerere.

Makamba yupoyupo tu nchi inaanguka kwenye nishati watu wapo busy na mwigulu Ila niwaambie Makamba ni tatizo kuliko Mwagulu na soon ile biashara ya Generators imeanza tena.

Ccm haijawai kuwa serious kuongoza hili taifa na Kama hamtaki iondoke msilalamike pigeni kimya.

Ongeza tozo za Gest, Condom, weka tozo kila sehemu maana sikio la kufa halisikii dawa.
Nchi hii wajinga ni wengi mno na ndio wapiga kura wengi!!na ndio wanaopigika sana na maisha, lakini wakati wa uchaguzi wanajifanya hamnazo!!na ndio mtaji mkubwa wa chama tawala!!Ndio maana kuna jamaa alipendekeza angalau kwenye katiba iingizwe mpiga kura lazima awe na elimu angalau kidato cha sita!!!
 
Wale wabunge wengi wa CCM kule bungeni ndio walipitisha tozo, sio watanzania, usitusingizie, na wala wale wabunge hawakuchaguliwa na watanzania, waliwekwa na aliyekuwa mwenyekiti wao.
Uko sahihi mkuu, lakini mtoa mada anamaanisha kwamba kwa nini tunafanyiwa hivyo na tunakubali? Wananchi wakiwekewa viongozi wasio wachagua wanapaswa kuwakataa kwa vitendo mpaka wajue kuwa tumekataliwa.
Lakini sie tukipewa kofia na vitenge basi ni vigelegele na shangwe huku wao wakigongeana glass za mvinyo wakisema mafala tumewaweza.
Bila kukiwasha hata kwa ngazi ya mtaaani tuu hakuna changes zozote zaidi ya kuambiwa "nendeni Burundi"

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Utawala wa majimbo/magavana utasaidia sana raia wote kutokuteseka kwa pamoja.
Nchi hii wajinga ni wengi mno na ndio wapiga kura wengi!!na ndio wanaopigika sana na maisha, lakini wakati wa uchaguzi wanajifanya hamnazo!!na ndio mtaji mkubwa wa chama tawala!!Ndio maana kuna jamaa alipendekeza angalau kwenye katiba iingizwe mpiga kura lazima awe na elimu angalau kidato cha sita!!!
 
Wale wabunge wengi wa CCM kule bungeni ndio walipitisha tozo, sio watanzania, usitusingizie, na wala wale wabunge hawakuchaguliwa na watanzania, waliwekwa na aliyekuwa mwenyekiti wao.
Aliyewaweka wabunge wa CCM alitaka rasilimali za nchi ziwafaidishe wanyonge. Kilichomwondoa ndo sababu ya tozo.
 
Utawala wa majimbo/magavana utasaidia sana raia wote kutokuteseka kwa pamoja.
Kweli hiyo inaweza wafanya watu wawe na akili, leteni ujinga mtaumia wenyewe, halafu iwe marufuku kuhama hama!!ikibidi kuwe na VISA, sio wajinga mnakusanyana huko mnachagua mzigo, yakiwashinda mnakimbilia kwenye neema za wengine.hahaaaaa
 
Malalamiko Mara tozo Mara sijui umeme kukatika mafuta kupanda tusisumbuane.

Watanzania ndio tatizo zaidi siku za uchaguzi zikifika mnajifanya hamnazo hampigi kura na wengine mkipiga mnapigia ccm upuuzi.

Acheni kulia lia sasa haya matozo na ujinga ujinga wote unao endelea ni zao la ilani ya ccm Tatizo hatusomi ilani za vyama na kuzielewa.

Tundu Lissu kwa muda mchache wa miezi 2 aliyopiga kampeni alijaribu kutoa elimu ya uraia lakini wabongo wapi wakawa wanamtukana.

Aliyoyasema yote ndio yanayoendelea kuhusu ufisadi, mfumuko wa bei utawala wa kishikaji kutawala watu baada ya kuongoza watu.

Acha tu Mama Samia apae aende ulaya kumzika malikia kwa pesa zenu za tozo huku mikoa karibia 15 ukiwa inapishana kwa mgao wa umeme.

Hakuna update yeyote juu ya bwawa la Mwalimu nyerere.

Makamba yupoyupo tu nchi inaanguka kwenye nishati watu wapo busy na mwigulu Ila niwaambie Makamba ni tatizo kuliko Mwagulu na soon ile biashara ya Generators imeanza tena.

Ccm haijawai kuwa serious kuongoza hili taifa na Kama hamtaki iondoke msilalamike pigeni kimya.

Ongeza tozo za Gest, Condom, weka tozo kila sehemu maana sikio la kufa halisikii dawa.
Walijua wanamkomoa Mbwowe.
 
Tusubiri uchaguz ukaribie watuweke show za kina mondi zuchu konde na wengineo,wakitupooza na kofia vitenge....ah tutasahau maumivu
Tutawachagua tena [emoji1]
Na hata tusipowachagua watajichagua wenyewe,maana naona kijani wako hapa kukaa milele [emoji1]

Ova
Kuna wanaccm wanalalamika sana mtaani. Nabaki nacheka tu.
 
Aliyewaweka wabunge wa CCM alitaka rasilimali za nchi ziwafaidishe wanyonge. Kilichomwondoa ndo sababu ya tozo.
Mnyonge ni nani?
alitokana na nn?
Kwann pawepo wanyonge na waso wanyonge?
Mtu aliyehitimu chuo kikuu na kuwa bodaboda kwa kukosa ajira tumuiteje huyu?
Vipo wapi viwanda vya magufuli?
 
Back
Top Bottom