Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

Ukute anayeongea nae ni demu wako
ntaenda kufanya sherehe kwani umaskini sasa kushneyiiiii..,wewe demu wako kupata cruiser inamaanisha na wewe utakuwa unalivugumisha siku kibabu chake kipo nje ya nchi..,teh. teh teh...,
 
ntaenda kufanya sherehe kwani umaskini sasa kushneyiiiii..,wewe demu wako kupata cruiser inamaanisha na wewe utakuwa unalivugumisha siku kibabu chake kipo nje ya nchi..,teh. teh teh...,

Sio mnaliuza mnapata mtaji wa kufungua biashara?
 
Ye afanye sijali lolote kwani mbuga ya serengeti itakua imeishiwa wanyama??

Kama kweli una kiburi hcho
Nyie madem MNA maigizo kuliko bongo movie aisee
Wewe huyo huyo una support kulelewa na vibabu wewe huyo huyo unatamani Serengeti nyokoo
 
Nimeamini Taasissi ya ndoa shetani kaikamata mpaka atumalize.
 
Kama kweli una kiburi hcho
Nyie madem MNA maigizo kuliko bongo movie aisee
Wewe huyo huyo una support kulelewa na vibabu wewe huyo huyo unatamani Serengeti nyokoo

presha itakupanda bure kufuatilia ya wanawake
Nafanya ntakacho sio unachotaka ww. hiyo nyokoo narudisha kwako nyolooooooooo.o!!!
 
Back
Top Bottom