Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Siasa ni Sayansi ya hali ya juu sana

Makundi ndani ya Chama yana matawi yao ambayo ndio vyama shikizi

mnyukano wa 2005-2015 ilibidi itengenezwe cinema ya Ufisadi wakapewa hiyo kashfa na jina la Mhusika, kazi ikafanywa kwa ustadi Mkubwa, alipokatwa Mhusika 2015 Watu wake wa karibu wakataka kupasua Chama, wakala aliekuwa anajifanya mtu wake wa karibu akamshauri tuachane na kupasua Chama, jamaa wa upande wa pili wametuita twende zetu…Cinema ikaisha kama ilivyoisha

sasa hivi kuna Mnyukano mwingine mkali sana makatili vs wahuni …ikashauriwa tufungue milango 'hewa iingie ndani kupunguza joto ' ila wale Jamaa zetu tuwape tena jina la ku deal nao na kweli kazi imeanza vyema na 'marehemu baba' anasemwa vya kutosha
Kama mnategemea mpate kura sababu ya kumsema magufuli ni never
 
Nani asiyejua kuwa mtangulizi wake ndio aliyevuta Mpunga na mikataba ambayo leo hii imetuletea ushoga?
Duuh hizi ni serious allegations? Ushoga uliletwa na mtangulizi wa JPM? Aiseeee.

Sukuma gang mnahitaji psychologist maana mna tatizo la akili like seriously
 
Kama mnategemea mpate kura sababu ya kumsema magufuli ni never
Hawa watu ,ni vile Vyombo vya Dola, wakuu wao wamenyeshwa mvinyo.

Otherwise 2025, tungewashangaz kwelikweli, hata Ivo TUTAWASHANGAZA.

Kama Dola ilipinga kauli ya "Kama kweli tunampenda, tupige kura hapa, awe Rais mpaka 2030".

Tumaini lipo !!.
 
Kama mnategemea mpate kura sababu ya kumsema magufuli ni never
According to NEC Chadema walipata kura za ubunge zaidi ya million 3 ndio sembuse 2025 ambapo JPM hagombei!! Kingine watu watapiga kura kwa Chadema sababu CCM mmefeli Kila kitu huyo JPM sio factor kabisa maana atukanwe asitukanwe hawezi punguza mfumuko wa bei Wala kushusha bei ya mchele.
 
Hawa watu ,ni vile Vyombo vya Dola, wakuu wao wamenyeshwa mvinyo.

Otherwise 2025, tungewashangaz kwelikweli, hata Ivo TUTAWASHANGAZA.

Kama Dola ilipinga kauli ya "Kama kweli tunampenda, tupige kura hapa, awe Rais mpaka 2030".

Tumaini lipo !!.
Hakuna kitu mtafanya maana zama za ukatili zimeshapita. Huko CCM hata fomu hamtoruhusiwa kuchukua na mgombea wenu ni Samia!!!

Mpina si mlimjaza upepo mbona kakatwa ujumbe wa NEC mkoa na kitaifa na hamna kitu mmefanya!!
 
Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi ambayo haikuwa na strategical projects yoyote?
Acha uongo we sukuma gang!!
JPM amekuta Bomba la gesi
JPM amekuta Kinyerezi 1
JPM amekuta Terminal 3
JPM amekuta mwendokasi
JPM amekuta Mradi wa Maji ya ziwa Victoria.
JPM amekuta madaraja ya kilombero na Malagarasi
JPM amekuta lami karibu Kila mkoa

Mradi Gani hapo sio wa kimkakati? Mnadhani waTanzania ni wajinga eeh?
 
Msoga gang inapambana kupanga safu yake tu na kuwekana,wanajiona ndio wamiliki halali wa hii nchi
 
I don't think that Oppositions has a good will for our nation, I noticed it at the regime of Magufuli these guys are stupid and selfish.
Kwa English hii pekee wewe ndio stupid kabisa..... Chadema walifanya kazi ya upinzani na ndio maana walipojiunga CCM walipewa wote uongozi serikalini. Sasa kati ya wewe au upinzani nani mjinga? Kama wangekua wajinga wangepewa uwaziri, uRC na uDC?
 
"Unapotaka kuvua samaki lazima utangulizi Chambo"

Mshaliwa
 
Hakuna kitu mtafanya maana zama za ukatili zimeshapita. Huko CCM hata fomu hamtoruhusiwa kuchukua na mgombea wenu ni Samia!!!

Mpina si mlimjaza upepo mbona kakatwa ujumbe wa NEC mkoa na kitaifa na hamna kitu mmefanya!!
Let's pray Bro !!.

Mpina ni hazina ambayo 2025 imo !!
 
Kwa English hii pekee wewe ndio stupid kabisa..... Chadema walifanya kazi ya upinzani na ndio maana walipojiunga CCM walipewa wote uongozi serikalini. Sasa kati ya wewe au upinzani nani mjinga? Kama wangekua wajinga wangepewa uwaziri, uRC na uDC?
Minister,RC and DC these are granted authorities so, you never know what time you will be suspending.
 
Ndugu zangu Watanzania fahamuni, hatuna wapinzani, tuna kikundi cha wahuni ambao wanapambania;
  • Matumbo yao.
  • Pesa za Wazungu.
  • Ushoga ili taifa lilaaniwe, na huu ushoga unaongoza kupambaniwa na wapinzani huku ukifungiwa macho na uongozi uliopo.
Acha utoto..... Kama wapinzani ni wabaya kwanini JPM aliwapa uwaziri na ubunge huko CCM? Yaani JPM aliona wapinzani Wana uzalendo Hadi akawateua uwaziri alafu sukuma gang mmoja unayeuza gongo ndio unadai wapinzani hawafai!!

Weird
 
Let's pray Bro !!.

Mpina ni hazina ambayo 2025 imo !!
Ameshakatwa hivyo mbona hamjafanya kitu? Cream yote ya JPM imeshang'olewa lakini nchi ipo kimya kabisa.

Kubalini tu JPM ameshaondoka hawezi Rudi milele the earlier you cope the better.
 
Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye maslahi ya nchi.
Kipindi kina Lema na Bashe wanasema vyombo ya Dola vifumuliwe si mliwakejeli wametumwa na mabeberu. Leo ndio mmegundua kwamba vyombo vya Dola havitendi haki?? Na Bado mkuu subiri 2025 mtapigwa mabomu na kufungwa jela na virungu juu ndio mtaelewa tulichopitia miaka 7 ya JPM.
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    38.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom