Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Hakika...sijui binadamu tumekuwaje yaanUlitakiwa kwenda kumpa msaada sio kumchoresha humu.
Si alikuwa mwanza huyu..?Msanii wa kizazi kipya aliyekuwa kundi la Wakali Kwanza, Q Jay kwa sasa amekuwa kama chokoraa kwani amekuwa anaokota makopo na kuongea vitu visivyoeleweka
Chanzo cha matatizo yote ni kutokana na ugumu wa maisha pia na msongo wa mawazo baada ya kuachana na familia yake.
Mkewe alichepuka, akabeba ujauzito wa mtu mwingine wakati akiwa naye, akamuaminisha kwamba mtoto alikuwa ni wake hadi anafikisha miaka sita ndio akajua kuwa mtoto sio wake.
Kwa sasa msanii huyu anaishi Bukoba, mkoani Kagera.
We ndezi elewa hata kumuanzishia mada hapa ni msaada tosha.Ulitakiwa kwenda kumpa msaada sio kumchoresha humu.
Sawa mada umeanzisha huku yeye kule anafaidika nn na huo unaouita msaada kwake!!We ndezi elewa hata kumuanzishia mada hapa ni msaada tosha.
TrueUlitakiwa kwenda kumpa msaada sio kumchoresha humu.
Maandishi yako yanakashifu.We ndezi elewa hata kumuanzishia mada hapa ni msaada tosha.
Wasikie kwa wengine tu jmn. Dipression si kitu kizuri. Unaweza jikuta unafanya mambo ya ajab kabisa bila hata kujijua.Msongo wa mawazo sio kitu kizuri kabisa.