Msongo wa mawazo, ugumu wa maisha wasababisha Msanii Q Jay kuranduka mpaka kuokota makopo

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Msanii wa kizazi kipya aliyekuwa kundi la Wakali Kwanza, Q Jay kwa sasa amekuwa kama chokoraa kwani amekuwa anaokota makopo na kuongea vitu visivyoeleweka

Chanzo cha matatizo yote ni kutokana na ugumu wa maisha pia na msongo wa mawazo baada ya kuachana na familia yake.

Mkewe alichepuka, akabeba ujauzito wa mtu mwingine wakati akiwa naye, akamuaminisha kwamba mtoto alikuwa ni wake hadi anafikisha miaka sita ndio akajua kuwa mtoto sio wake.

Kwa sasa msanii huyu anaishi Bukoba, mkoani Kagera.

Capture.PNG
 
Si alikuwa mwanza huyu..?
 
Halafu ndo picha hakuna?

Haya picha huna hata source ya habari yako pia huna?
 
Huyu babake si aliwaachia nyumba ya urith pale Namanga karbu na general taya
 
Back
Top Bottom