Inaumiza kaka jamaa alikuwa so talented yan ila Mungu ndo muweza atampiganiahapana mkuu kuna watu wanapiga mzigo haswa kwa wahindi na wachina wanaondoka na ujira wa 4000 kwa siku na wanapiga kazi saa mbili asubuhi mpaka 12 jioni lakini hawajawa vichaa kwasababu ya malipo duni.
Jamaa alioa akaokoka akaachana na mziki wa dunia akawa anafanya kwenye kampuni flani ya kufunga majukwaa kuna kipindi alifanyiwa mahojiano na dullar kwenye planet bongo ya TV na alikuwa fresh tu miaka kama minne nyuma sasa sijui imekuaje
Wengi wa hawa mnao waita "mastar" hawana kipato cha maana ni mbwembwe tuu na kuuza sura kwenye tvii!!!!hawana lolote huishi maisha ya kuigizakuna maisha baada ya ustar kweli wajifunze kuwekeza....tupewe utaratibu tutachangia ila wajifunze
Tulia weweee na fanya kaziohooo yamekuwa hayo tena kwa kijana mwenzetu sasa namba ya kuchangiA iko poa
alaf story kama hizi bila picha ni sawa na simba bila moooo
Tena afadhali ingekuwa ni msoto kuliko uchizi. Pole kwake.Duh uyu dogo alitokea kwenye msoto sana nakumbuka alikua anauza barafu kule Songea akapambana akatoboa na umaarufu juu leo tena karudia tena msoto basi ni balaa.