Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Inaumiza kaka jamaa alikuwa so talented yan ila Mungu ndo muweza atampiganiahapana mkuu kuna watu wanapiga mzigo haswa kwa wahindi na wachina wanaondoka na ujira wa 4000 kwa siku na wanapiga kazi saa mbili asubuhi mpaka 12 jioni lakini hawajawa vichaa kwasababu ya malipo duni.
Jamaa alioa akaokoka akaachana na mziki wa dunia akawa anafanya kwenye kampuni flani ya kufunga majukwaa kuna kipindi alifanyiwa mahojiano na dullar kwenye planet bongo ya TV na alikuwa fresh tu miaka kama minne nyuma sasa sijui imekuaje