Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Hii pekee ndio Tiba kwa maslahi ya mapana ya nchi. vp Dalali wa kimataifa Ngosha Gabachori na kati ya Mpunga mwingi?
 
Inawezekana lakini Ila kwanamba J=10 A=1 na L=12 ukijumlisha zote unapata 23 sawa na mwaka 2023 sawa na jal alafu jumlisha 123 Yani 1+2+3 unapata 6 kwaiyo utabiri inaweza kuwa hata mwezi wa 6 tarehe 23.2023
Hesabu ya tarehe 'umetembea nayo kichwani' umekopa wapi?
 
Maelekezo kutoka juu, 'op' ya mstaafu naona kama imesitishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…