Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Nilisikia kwa...... Mbobezi hadi mauti inamkuta alikuwa ndiye MCHAKATAJI wa Taarifa za TIZZ kabla ya kumfikia New CEO, kwa sasa hatuko naye Mbobezi, vipi nani ameridhi nafasi yake ya kuchakata taarifa?MAY ni mwezi wenye herufi 3 kama JAL ilivyo na herufi 3.
12 tarehe ya mwezi husika.
23 ni tarakimu 2 za mwisho katika mwaka 2023.
12/5/2023 iliwakiishwa na kodi JAL 123..
Kama ndivyo, mbobezi ndiye mstaafu aliyestaafishwa?
Ni baba batoto wako nini, kwa maana nae hajambo kwa totozNatamani nisimulie ila sitoweza.
Mimi namuombea heri tu
Mkuu umesahau kuwa bila mwendazake kijani ingekuwa ICU na kingenfia born mjini, nakumbuka ukivaa mashati au fulana au dela la kijani ulikuwa unazomewa popote unapopita? na sasa hali ishaanza kurudi ya kuzomewa ukivaa fulana za kijani na sasa hata ukiendesha hizo pikipiki za waarabu ndio usiseme, chama kinamfia mstaafu asiyetaka kustaafu, sasa kabaki yeye na mstaafu mwingine asiyetaka kustaafu wao ndio Alfa na Omega, akina Ole hawapo nani atamzuia? labda Mungu aingilie katiUsiwatukane Mkuu!!!usiwafanye wajisikie vibaya!ni kweli walikosea kama BINADAMU!hasa 2010 Hadi 2015 ambapo Wangeandaa CHAMA mbadala ili 2015 kishike Dola hata kama ni CHAMA kidogo kama NCCR !mwendazake asinge teka teka ua,ua kama vile!!tungebalansi hisia za watz!!
Kwani hivi sasa bunge sio kikao cha CCM? ama kweli ukipenda, chongo huita kengeza! CCM ni walewale ni mvinyo ambao ni chupa tu hubadilishwa lakini mvinyo ni uleule.Kanda ya ziwa imebaki na wenye nguvu wawili TU
1. Gen. Venance Mabeyo
2. Simon Sirro
Wote wawili huu mwaka wao wa mwisho.
So Kanda ya ziwa will be no longer.
Kwa kutumia taasisi zao hizo jiwe alivuruga nchi, wote nimashahidi wa kinachoitwa bunge kumbe ni kikao Cha CCM.
Hasa polisi walikuwa ni wasimamizi was kila kitu.
Nchi imeponywa na ni mpango wa mungu.
Huyu huyu aliyeingia kwa sifa ya mlenga shabaha?Nilisikia kwa...... Mbobezi hadi mauti inamkuta alikuwa ndiye MCHAKATAJI wa Taarifa za TIZZ kabla ya kumfikia New CEO, kwa sasa hatuko naye Mbobezi, vipi nani ameridhi nafasi yake ya kuchakata taarifa?
Hakunaga mwamba mkuuHamuwezi kumfanya lolote.
Mazoezi nje ya Pitch yanaendelea.Ndo mana kwenu mnaua vikongwe kwa kuwahisi wachawi!
Nyie jamaa ni wapuuzi sana na bora Mungu alituepusha na nyie!
Ndo mana mnamshabikia mpuuzi Kama Zumaridi
Tuko pamoja,.. mwenyewe namkubali mr.smile balaa.,..huwa namuombea aishi mda mrefu.Natamani nisimulie ila sitoweza.
Mimi namuombea heri tu
.Huyu mtu anaandika na kupotea then huu uzi utakuja kufufuliwa after some months "execution" is done! Hakuna uzi hata mmoja wa huyu ambao tukio halikutokea!
Watch and pray!
.Watanzania wengi wao ndivyo walivyo,hata mwendazake alipokawa hai ilikua anaombewa hadi kifo,leo hii hayupo wanamlilia, after all ain't nobody killed Magufuli kama mnavyojaribu kupiga ramli,he died a natural death and ain't nobody shall live forever,he's dead and gone,Samia will serve this state kwa mapenz ya mungu vile vile, kuendelea kuamin ramli ni dalili za uchawi,na mchawi siku zote ni kiumbe dhaifu tuh
Tumia akili kimya sana, upo hai kweli?Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Swali Gani hili🤔Tumia akili kimya sana, upo hai kweli?
Ni katika kutaka kujua maana kimya sana, hadi maswali mengi.Swali Gani hili🤔