Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

Mimi nilimkubali JK tangu Mwendazake alipoingia madarakani. Hata wabunge mwaka ule nadhan 2016 waliposema tumekumiss alipoingia bungeni ni dhahiri kwamba tuliokuwa hatumwelewi kabla hatuna uzoefu wake. Toka mwendazake alipoingia mpk leo na kesho na milele sitathubutu kuacha kumwelewa.
Nawashauri na wengine. Maana majuto ni mjukuu.
 
Nchi ya jua hili au sio?! 😂😂😂😂
 

Wapi huko??
 
Kwa mara ya kwanza nikiwa Ukumbini kama mgeni muarikwa nilimuona JK akiwa na hasira Kali sana na jazba isiyodhibitika kirahisi.

Mpaka akamsema Charamila, Msiba n.k... Badae tukakutana jioni pale Shish food kujadili kulikoni, ndipo taarifa zikaja kuwa kura za hapana zilikuwa nyingi, lkn pia wanaojipanga na Urais miongoni mwao ni Membe na April ambao anawasuka yeye kijanja-janja na siri zishavuja tayari kachelewa... So, pale alikuwa anajiosha tu mbele ya Mwenyekiti wetu.

Anasema '.....muiteni huyo anayesema kuna watu wanenda.....wakijipanga kugombea Urais mkamuhoji....., akikosa ushahidi muonye mwambie ''''UKOME'''...akongezea neno....''':::::MGANGA NJAA:::::'''

Mnyetishaji alitutonya kwa usahihi kabisa, Makamba kusema 'MAMA HUTAKUFA' akaja JK akasema LABDA MAMBO YAHARIBIKE SANA ulikuwa ujumbe tosha kwa mikakati yao kujidhihirisha wazee hawa.

Kazi kwa vyombo na mama Mwenyewe..asipojibandua kwa JK hataamini kufikia 2025.

Tunamuomba anapoisuka upya serikali yake awaweke pembeni wale wote wenye vinasaba vya...... Afu aone atakavyo pata raha kwenye kuongoza..nafuu hata akina Kalemani, Bashiru hawana issue sana lakini mabwana wale....duh NOMER..

Membe afatiliwe kwa umakini sana nyendo zake.
Hakika huyu jakaya alijidharirisha sana halafu alikuwa anaongea kwa jazba sijui alikumbwa na nini na si kamba kwamba hakujipanga ni muongo yote alosema ndio yalikuwa yamemjaa moyoni......uswahili KAZI sana
 
Koma we,

Hatujaandika KATIBA mpya Bado.

Yaani ukiweka kiraka kipya kwenye kaniki chakavu unawezaje Sema nguo imekuwa Mpya?
 
Mwacheni mzee wa Watu apumzike!

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Maembe atakua na miaka 72 mnamo mwaka 2025
 
Hivi hicho chama chenu hakina njia nzuri ya kuwapata hao wagombea mpaka mstaafu akajipenyeza na kuweka mtu wake? Mstaafu alitumia njia gani mpaka kumpiku mwenyekiti? Hivi tumlaumu jk au mwenyekiti ambaye ana power harafu anapangiwa timu na mstafu wakati yeye yupo?!! Kitu gani kinawashinda nyie wenye chama kumzibiti huyo jk harafu mnabaki kulalamika?
 
Nionavyo Mimi ni kwamba Kuna watu inawakera kuona ssh kuwa karibu na hao wastaafu na sio vinginevyo na mnatafuta njia ya kuwagombanisha.
Hivi ubaya wa wastaafu muweze kuuona ninyi harafu mwenyekiti wa chama na rais asiuone kweli inawezekana? Mnaujua mtazamo wa mwenyekiti kwa hao wastaafu? Maana msije mkaona kama mwenyekiti anaingiliwa kumbe yeye kaamua kuwaweka karibu
 
Hakuna anaekereka, aendelee kuwakumbatia hao mafisadi hivyohivyo ili kazi yetu iwe nyepesi
 
Waswahilina hawajawahi kuwa na akili kubwa na ndo wamejazana huko fisiemu kwa sababu wamebobea kwenye ndumba, fitina na majungu, kwa hiyo hakuna la kushangaza hapa tuache muda uamaue ya mbeleni.....
UMEJIDHARAULISHA SANA KWA CHUKI ZA KISHAMBA
 
Mkaamua kumpigia gwajima na Bashungwa kamati kuu ccm yaani NEC na kumchinjilia baharini Marope na pena sio!!!?

Sawa tu subirini muone huyo jamaa hashindwi neno!!
 
Kuna makabila hawaelimikagi wala kubadilikaga hata waende shule uswahili hauwatokagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…