👍All the timeGod is good🙏
UsiogopeBinafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo.
Galatians 5:22-23
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Niambie ulicho win with your God.Zaburi ya 108:13a
With GOD in our side, We will WIN
Habakuki 2:1-3
Wafilipi 4: 4-7
Certified Hater kwako mwal..
All the time,👍All the time
All the time,
Maelfu ya watoto wadogo wamekufa huko Palestina Gaza, Goma DRC, Tigray Ethiopia, Turkana North Kenya n.k
Na huyo God ambaye mnadai ni mwema all the time hajafanya kitu wala kusaidia chochote.👇View attachment 3247906View attachment 3247907
That’s you & ur things.. ila mimi nina vingi nime WIN.Niambie ulicho win with your God.
Halafu niambie ni kipi sisi tusio mwamini huyo Mungu hatujawin?
Mimi nimewin karibu kila kitu without God.
Kutumia quotes za Quran na Biblia ni kujipa Matumaini uchwara. Yasiyo saidia lolote.
Umewin kwa nguvu, jitihada, na maarifa yako binafsi.That’s you & ur things.. ila mimi nina vingi nime WIN.
Stop being rude bhanaa 😅Umewin kwa nguvu, jitihada, na maarifa yako binafsi.
Wala si kwa nguvu za huyo Mungu.
Kama unabisha, Acha kazi au funga biashara zako zote umtegemee huyo Mungu akulishe na kukulipia bills.
Nipe somo zaidi naanza kukuelewaKutumia quotes za Quran na Biblia ni kujipa Matumaini uchwara. Yasiyo saidia lolote.
Maandiko ya kidini Biblia na Quran hayana nguvu yoyote ile ya kubadilisha maisha ya mtu yeyote yule.
Sanasana, yanakupa MATUMAINI UCHWARA.
Lakini uhalisia unabaki palepale.
Kama huyo Mungu kashindwa kumkinga na kumsaidia Papa asipate Pneumonia, Ndio unategemea ataweza kukusaidia wewe?
Hakuna Mungu ndio maana hata hawa watu wanaojiita watakatifu wa Mungu wanateseka na shida za dunia..👇
View attachment 3247909
Stop being rude bhanaa 😅
Huyo Mungu alikuwa wapi wakati ukiwa huna?Nilikuwa sina,
Ulivyokuwa huna, ulikaa tu ukasubiri na huyo Mungu akaja kukupa ukiwa umesubiri tu?nikamuomba. Akanizidishia maarifa ya utafutaji.. akanipa ushindi ❤️
A God who requires praises when you win should not shy away from taking blames when you lose.Nipe somo zaidi naanza kukuelewa
So what do you think about that?A God who requires praises when you win should not shy away from taking blames when you lose.
Mungu ambaye anataka asifiwe tu kwenye mema, Pia awe tayari kulaumiwa kwenye mabaya.
Sio atake kusifiwa tu, kulaumiwa Ahaaaaaaa!!!!
Mimi siamini kwenye kuamini.So what do you think about that?
Which side are you? You believe there is no God