TDibwe
Member
- Oct 20, 2023
- 81
- 96
Guided missile Iron Dome inapambana nazo.Ila kinachotokea ni kuwa Hamas wanarusha makombora zaidi ya mawili kwa wakati mmoja na target moja.So Kuna Makombora yanakuwa ayajaangushwa ndo hayo yanayopiga miji ya Israel.Kitakachokuja ni. Ku upgrade hizo iron dome,baada ya hapo kichapo mjarabu kitaendeleaKawaulize USS kwanini wamesema iron dome haina uwezo wa kudungua guided missiles?
Pia tazama taarifa za habari huko mpakani mwa Israel na Lebanon missiles zinazorushwa na hizbollah 90% zimepenya na kuleta madhara kwa wanakijiji na wanajeshi wa IDF na iron dome ilikuwepo.
Majibu unayo mwenyewe.