Mstari mwekundu wa Iran umeshavukwa lakini bado wanatii amri

Guided missile Iron Dome inapambana nazo.Ila kinachotokea ni kuwa Hamas wanarusha makombora zaidi ya mawili kwa wakati mmoja na target moja.So Kuna Makombora yanakuwa ayajaangushwa ndo hayo yanayopiga miji ya Israel.Kitakachokuja ni. Ku upgrade hizo iron dome,baada ya hapo kichapo mjarabu kitaendelea
 
Nitakukumbusha baada ya hii operation,kati ya hayo mataifa wote watarudisha balozi zao.Tena hizi nchi za kiarabu ndiyo kabisa watakuwa wa kwanza kisha watafuatia Latin America.
 
Kijana Kuna roketi na Kuna kombora.
Na Kuna aina nyingi ya makombora .
Uwezo wao pia unatofautiana.
Nitakuja kuelezea hapa

Hamas Hana makombora ana maroketi hizbollah ndio ana makombora.
 
Nitakukumbusha baada ya hii operation,kati ya hayo mataifa wote watarudisha balozi zao.Tena hizi nchi za kiarabu ndiyo kabisa watakuwa wa kwanza kisha watafuatia Latin America.
Waziri Wa social rights was Spain Ione Belarra ametoa wito kwa serikali ya Spain ivunje mahusiano ya kidiplomasia na Israel na Petra De Sutter naibu waziri wa Belgium ametoa wito kuwa Israel yafaa pewa vikwazo stahiki kwa inachokifanya.
Vipi hao pia viongozi was mataifa madogo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…