macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Narudia. Tunachagua serikali na kuipa vyombo kama ili kuchunguza na kupeleka mahakamani wahalifu. Siyo kazi ya raia.Kwani mbona huwa tunaona watu wana mshtaki mwanasheria mkuu na viongozi wengine wa serikali, hebu Mkuu okoa jahazi wapeleke kortini.
Sasa bado haijaona, wewe umetangulia kuona nena kaviambie vyombo vya uchunguzi Mkuu, whistle-blower.Narudia. Tunachagua serikali na kuipa vyombo kama ili kuchunguza na kupeleka mahakamani wahalifu. Siyo kazi ya raia.
Hukuskia yule aliekuwa akimuambia Baki na taarifa zk unanipotezea muda akimuambia Lameki maneno hyNenda Mahakamani na ushahidi.
Matusi hayasaidii ndugu...Acheni lawama za kijinga. Shida ya hii nchi ni mfumo wa utawala wa CCM . Ulitaka muhasibu afanye Nini wakati Rais anatetea kukopa nje.
Kaongea ukweli,na lazima muumie moyo.kwani wanaoiba sii kweli wasomi!!!baaado hujasemaMsukuma ana wivu na wasomi [emoji23][emoji23]
Wakati wenzake wakisoma yeye alikimbilia kuchunga ng'ombe
Wizi wa Mali ya umma hauna Cha elimu wala nini
Umendika ukweli mtupu mkuu...nakuunga mkono.Watanzania wote ni WEZI.
Ni kwa vile tu wengine hawajapata nafasi ya kuiba.
Kwenye maongezi ya watanzania wengi utasikia wakisema akipata kazi serikalini yani michongo na madili kama yote atafanya.
Wizi ni asili ya mtanzania.Ukitaka thibitisha hili angalia mentality za watanzania wengi kutaka nafasi za kazi kwenye taasisi kubwa kubwa kama TRA,TPA n.k
Lengo si ili wafanye kazi kwa weledi, Ni kwa vile wanaona taasisi hizo madili ya maokoto ni chapu chapu.
Sasa ukiwa na kizazi cha namna hii, Hakuna maendeleo zaidi ya wizi, rushwa, uhujumu uchumi, ubadhirifu wa fedha za umma..
Huku wauza nganda wakirejeshewa Mali walizoporwa na jpmSerikali hii iliyonfunga binti miaka 20 kwa kukutwa na bangi na kuwaacha hao papa wakwenye ripoti ya CAG [emoji1][emoji1]
Tatizo,ni huyo rais hapo juu na ccm wanamuogopa kumuattack moja kwa mojaKaongea ukweli,na lazima muumie moyo.kwani wanaoiba sii kweli wasomi!!!baaado hujasema
Ziwe kama Mivumoni Sec School Kinondoni Mtambani!Kwanini shule za serikali zisiwe kama feza?