Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,564
- 3,279
Gen Z ya konyo, me ndo saizi yako hujajua tu me ndo retirement plan yako bi mdash 😂😂Vipengele gani mzee, si hicho tu! Kidumu kibido ni nini tena, ila gen z mna lugha ngumu😆
Hahhah sina kundi niko kivyangu unajua eeh? Unakobeka ni nini tena mbona hivyo?🙄
Unayashikashika tu unamaliza unayaacha😅Kiukweli ukiniambia nichague madodo na makebo nachagua madodo. At least naweza kuyafurahia, kuyatomasa na kunyonya chuchus, haya niambie makebo makubwa nayafanyia nini😬
Yaleyale unaomba pic selfika baadae unasema hapa nishapiga😎Duh!!
Nini shida hasa!
Anapambania mzigo au.
Anataka aitumie brand vibaya.
Namba 9 maana yake nini, P kubwa ni kitu gani, usiniandikie mafumbo mimi nimezeeka bwana!!Unayashikashika tu unamaliza unayaacha😅
Kwahiyo sisi no 9 tunakufaa? Mambo ya P kubwa😎
Hahhaha usinifuate fuate usinifuatiliee mwanaume mzima unanuka kikwapaa..💃🏽Nakumbuka kufika mjn ukanipeleka manzese hapo sintosahau 😅
Hahahah utasubiri mpaka lini etiGen Z ya konyo, me ndo saizi yako hujajua tu me ndo retirement plan yako bi mdash 😂😂
Naona kama mpango mzuri huo natamani kuujaribu! Kidum namjua ila sijui surname yake lolKidumu ni mpango wa kando, ndo ile wamama wa kiswazi wanashauri mabinti zao mafiga matatu yakupikia yani wawe na michepuko au ukiwa na ndoo(mume) kua vidumu viwili pia kutunzia maji ya emergency. Sasa kidumu kibido ni msanii aliimba na Juliana 'haturudi nyuma' nikafikiri unamjua.
Hahaha mimi huyu?kaa kimasta nawewe umelendemka mnoo
Ni umbo la mwanamke umtakaye 😁Namba 9 maana yake nini, P kubwa ni kitu gani, usiniandikie mafumbo mimi nimezeeka bwana!!
Muhimu tu awe na boobs za kutosha, makebo nawaachia wengine!Ni umbo la mwanamke umtakaye 😁
Hahhaha hutopenda we mzee, nikikufunika nalo usoni hupumui, moja lina kilo 6Muhimu tu awe na boobs za kutosha, makebo nawaachia wengine!
Kama una hizo sifa chache babu anaanza kumeza mate hapa😬
Hahahah utasubiri mpaka lini eti
Mpaka nifikiwe, nina uvumilivu kama wa whozu, wema kakengeuka wee toka labda jamaa yuko primary mwishoni ninja kamjaza mtoto.
Sio kama nakufananisha na wema, hapana😂😂
Mimi mwenyewe mzee, nakataaje kubanana na mwee mwenzangu. I love big boobs na huwezi kunielewa!Hahhaha hutopend awe mzee, nikikufunika nalo usoni hupumui, moja lina kilo 6
Nani mzee mwenzio😅Mimi mwenyewe mzee, nakataaje kubanana na mwee mwenzangu. I love big boobs na huwezi kunielewa!
Umeshanifananisha nyau we! Hunipati🤣
Archnemesis 2-0
Umejiita mzee, au unarukaruka kama bisi? Narudia tena, big boobs😬Nani mzee mwenzio😅
duuh kwahy hata mke uzungumzagi nayeNje na masuala ya kazi mimi binafsi huwa ni vigumu sana kuzungumza na mwanamke hata dakika 2 kama sijatumia kilevi chochote, huwa naona hawana akili timamu.
Anikome mi nina mtu wangu humu sitaki ujinga kabisa😀😀😀Duh!!
Nini shida hasa!
Anapambania mzigo au.
Anataka aitumie brand vibaya.
Subiri nikusnye id zake zote tuwape mods kabisaOyaaaaa nakusibiri nataka nianzishe uzi nigonge watu nyundo 🔨 kabisa wakome kutuletea ujinga humu 🤣
Nipo serious na hii ishu nifikishie kwa njia zozote unazozijua lakini sio hapa hadharaniSubiri nikusnye id zake zote tuwape mods kabisa
Hawezi kutuchagua humu kirahisi