Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Nadhani kuna sehemu tumepishana kwenye tafsiri ya hoja yangu. Sikuiandika nikilenga wanawake wala wanaume pekee,
nilikuwa nazungumzia tabia za watu wote tunapotumia mitandao. Hoja yangu ilikuwa kwamba busara inaonekana kwenye matendo kulinda heshima na faragha ya wengine, kutosambaza kila jambo, na kutofanya tofauti za maoni ziwe uadui.

Nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana utashi wake na hastahili kupangiwa maisha. Nilichosisitiza ni uwajibikaji wa namna tunavyotumia sauti tuliyopewa na mitandao, bila kujali jinsia.

ShesRise_1
 
Sijakupinga nimekazia tu kwenye comment yako kiufupi nimeunga mkono hoja yako
 
Hapana mrembo siyawezi kwanza mimi sio muongeaji hadi kwa watu nilioshibana nao mnoooo,
Nilisikia kuna makundi pm watu wenye nyota zao wanajadiliwa sijui huwa wanaoteshwa au wanafarijiwa wao ni muhimu sana🤓

Haya mambo ya wabeba maono hayatuhusu sisi tusiopenda watu😎
Mwanza naenda weekend hii, kama upo tuonane basi😋🥰😄
Utakuwepo mpaka lini? U never know naweza kuwa around pia,
 
Nitakuwepo kwa muda mfupi tu, kusheherekea birthday yangu 🥳🥂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…