Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Mh,japo ni kweli.
 
Huyo anataka watu wote wawe,wakata mauno wajiingize
Bongo fleva

Ova
 
Anakukimbiza mwendawazimu uliekimbia na taulo lake angali akioga wakati anajua yupo mtupu.
 
Sidhani kama jeshi letu ni dhaifu! Hao wamewa_ missdirection wamewauza maana hiyo serikali yote ipo corrupt kabisa
Magaidi wao wenyewe wana intelligence na wanajua kutafuta maadui zao. Hakuna haja ya kuuziwa taarifa, na jeshi letu unasema sio dhaifu ila ndio hilo hapo na magari yao yanayotumiwa na makampuni ya kitalii pale Arusha. Na hapo wapo kwenye warzone.

Rwanda hawa hapa wako warzone na magari yao hilo la mbele ndio yanaenda patrolNionyeshe lini umesikia Rwanda, Botswana au South Africa wamepigwa kizembe kama hivi hapo Mozambique, tena mission kubwa inapigwa na Rwanda kuliko sisi. Na ninahisi waasi watakuwa wanafanya ambush zaidi kwa Tanzania kwa maana hakuna upinzani. Toyota hardtop itumike warzone sijui kufanya patrol au kulinda msafara? Tuachane na hiyo Iveco hiyo lazima iwe hivyo. Huku kuendekeza umaskini tunapitiliza.

Ni kawaida ya serikali kutojali kila kitu. Nchi serious zinajali uhai na usalama wa wanajeshi. Hiyo ni mission ya wanajeshi hata 1,000 hawafiki na magari machache tu. Unaona hao Rwanda na Kenya wanaojitutumua nje ya nchi si kwamba wanajeshi wake wote wana sare nzuri, silaha bora na uwezo mkubwa bali kuna wachache wa kuzugia kwenye adversaries wadogo kama magaidi na waasi. Vita ya taifa na taifa watajua mbele ya safari. Sisi mission ya wanajeshi wachache tuna silaha za hivi sijui lengo ni nini.

Huwezi kuwa na jeshi lenye confidence wakati halina zana basic
 
Tafsiri JW22

One of the vehicles seized by the fighters of the Islamic State after the ambush near the village of "Vondanhar" -

Mozambique - Cabo Delgado - Amaq News Agency: A joint patrol of the Mozambican and Tanzanian armies suffered material losses in an attack by Islamic State militants in the northern province of Cabo Delgado.

eastern Mozambique. Security sources told Amaq Agency, "The Islamic State fighters set up an armed ambush, last Tuesday, for a joint patrol of the Mozambican and Tanzanian armies that was traveling on one of the roads between the "Ningad" region and the village of Fundanhar in the "Palma" region.

The sources added that the ambush resulted in the seizure of 3 vehicles and burning them after the soldiers fled from them, in addition to the seizure of weapons and ammunition. The sources confirmed the withdrawal of the Islamic State fighters to their positions
 
Endelea kuamini ni propaganda sisi tuliopo huku mpakani tunaona kwa macho yetu hayo mambo ndugu yetu kipanya alichinjwa akatolewa kichwa na hao magaidi na wakasambaza picha za tukio hilo pale kitaya
Kipanya yupi mkuu
 
[emoji89]
 
Endelea kuamini ni propaganda sisi tuliopo huku mpakani tunaona kwa macho yetu hayo mambo ndugu yetu kipanya alichinjwa akatolewa kichwa na hao magaidi na wakasambaza picha za tukio hilo pale kitaya
Huyo n askar au duh kumbe hal imefika huko
 
Point sana mkuu
 
Huyo n askar au duh kumbe hal imefika huko
Hapana hakuwa askari alikuwa ni raia tu ni kijana ambae tulikuwa tunamuagiza kama bodaboda,huyu alikatwa kichwa huku wanarekodi lile tukio na wakaliachia mtandaoni,na kuna brother wetu anaitwa ndaile duka lake lilichomwa moto na wakamteka mkewe na watoto wake wawili huu ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu hajui hatma ya mkewe na watoto
 
Jeshi letu lijengwe kisasa, ushauri wa [mention]T14 Armata [/mention] na wazalendo wengine uzingatiwe kwa sasa huwezi kujua utaingia vitani saa ngapi tuache kujilisha upepo na zana zilizopitwa na wakati, hua tukieleza hapa Uganda na Kenya washatuacha kwenye ukamilifu na usasa wa majeshi yao tunajifariji mara silaha tunazoonesha sio zote wakati dunia yote iko wazi silaha yoyote utaponunua popote inakua listed kwa uwazi huko duniani, kuvunja matofali, kulalia misumari ni only way ya uvumilivu wa mateso kwenye mapigano, hatuna sababu na hayo kwa sasa.
 
Dah so sorry polen sana
 
Angalieni mode za ulinzi hata wa ndani ya nchi unavochekesha, anakaa trafiki kwenye point fulani kwa kua hana silaha tunatarajia walau pale awepo askari mwenye silaha ili ikitokea kufanya hata uokoaji waokoe, haya hao trafik matumbo yamewazidia wanajengewa na vibanda wapumzike come on guys Rwanda tu hapo trafik hakai hadi muda anakuja kutolewa na shift nyingin e, hapo kwa trafik tu utayari wa muda wote haupo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…