Juzi tulienda kutoa mahari karibu na chikongo tukakutana na mageti kama 4 hivi,tukaanza kuhojiwa tangu saa 4 mpaka saa 7 hatukuwa na barua ya mtendaji yenye picha bali tulikuwa na vitambulisho vingine tu wakaanza kutuhoji maswali yasiyo na kichwa wala miguu,,,, mara kama vipi tugawane hiyo mahari na blah blah kibao mwishoni wakaomba buku 5 wakatuachia tukapita mageti yote,ndipo nikawaza kwahali hii kazi ipoAisee sijui ndio intelijensia yenyewe yaani mjeshi in AK47 inakuuliza kitambulisho tu
Unakuwa salama sababu ya wanajeshiKazi ya jeshi ya kijinga sana.
Kazi gani ambayo waweza fanya halafu usiishi kwa Amri labda uwe unajiuza mwili wakoHata kama naishi kwa dada yangu bado ukweli utabaki vilevile kuwa kazi ya jeshi ni ya kijinga.
Unaishi kwa amri mpaka unastaafu.
Hata CDF anaishi kwa amri, je hawa ma junior!!
Hata kuuza mwil mteja anakuamrisha u change style..Kazi gani ambayo waweza fanya halafu usiishi kwa Amri labda uwe unajiuza mwili wako
Hiyo ndio kazi pekee uwezayo kujiamulia
Kwani wewe unafanya kazi gani ni changuoa wa kike au kiume unayejiuza?
Hiyo kazi wameifanya sana Israel. Kuna missions nyingi wametumia eavesdropping na geolocation kwa msaada wa vitu wanavyotumia magaidi. Wanatengeneza mtandao feki wa fedha na resources kama redio, camera, simu na silaha kisha wanasikiliza mission imepangwa wapi, viongozi wakuu ni nani, silaha nyingine ziko wapi, wafadhili wenu kina nani. Waarabu nao sio wazembeHilo ni jambo jema sana, kuweka GPS kwenye silaha na kuzitelekeza huku mkizimonitor is good methods ya kufahamu machimbo yao na kuwamaliza.
Akili kubwa sana,,, vita ni technology sikuhizi,,,Utachekwa.
AK-47 hata sights za kuweka infrared scope uitumie usiku haina. Ikifika usiku unapigana kama mpuuzi tu wa Boko Haram wakati wewe ni mwanajeshi wa taifa. Huwezi funga sight ya kupima umbali na kulenga shabaha, inategemea uwezo binafsi wa kulenga na uzoefu wa mwanajeshi. Kama unadhani Tanzania ina wanajeshi exceptional kiuwezo basi hujui kulinganisha majeshi au unapumbazwa na uzalendo feki ule unaoamini kujikweza ndio kuipenda nchi.
Hamza pale Salender unajua walimrushia risasi ngapi kabla ya kumuua, wakati ni bonge nyanya refu, kijana mzembe wa familia ya kitajiri hata rifle ukute alikuwa anaziona kwenye movie na aliuwawa barabarani. Sasa angekuwa ni trained terrorist kwa zile AK-47 na SMG unamuua saa ngapi.
Hawa ni Botswana wanazo kama FN FAL na SAR 21View attachment 2423673
Hawa ni Kenya nao wana hizi na AK-47 bado zipo nyingiView attachment 2423674
Hawa ni Russia standard rifle yao kijeshi kwa sasa ni AK-12 ambayo ni derivative ya AK-47 ila ya kisasa ingawa characteristics ni zilezile. Na hii ndio iko very simplified na basic. Waasisi wake wanaziacha kama sio outdated kwa niniView attachment 2423676
Hawa ni China na QBZ-191 ambayo ndio standard rifle. JW niliwaona na kitu kama QBZ-95 mwaka jana/juzi walipopigwa ambush na hawa magaidi ikakamatwa APC ya Kichina. Wachina walikuwa na SMG zao na copycat ya AK-47 wanaita Type 56 wakaziacha. Kama sio outdated kulikuwa na haja ganiView attachment 2423677
Bunduki design ya 1947 haiwezi tumiwa na taifa serious kujilinda. Hiyo ni very cheap ila hata effective range yake ndogo kiasi, accuracy ndio kwa standard za sasa ni ndogo na sights hamna. Hizo bunduki nilizotaja wala sio expensive, sio lazima ziwe hizi. Wajerumani ndio wana bunduki nyingi hatuwezi afford
Kwa uhakika zaidi halipo hata top 5 bara la Afrika. Sijamaanisha tuko namba 6 ila nina uhakika 100% hatupo 5 of the best armies in Africa. Egypt, South Africa, Morocco, Algeria na nchi fulani.Niliwahi sikia eti jeshi la ardhin linaongoza ni kweli?