Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Tatizo bajeti haziruhusu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bajet eti heee!.

inakuwaje nchi changa kwetu wasiotuzidi hata rasilimali wanamiliki varn military cars nzuri,sisi tunang'ang'ana na Land cruzer hard top kwenye war scale mission?.

zama zimebadilika tusipobadilika na sisi hatutotisha tena kama zamani,ndo kama hivyo vijana wa kigaidi wanapeleka moto kizembe kwa JW,,nimechukia sana kwakweli.
 
Wanajeshi waoga wa kufa wamekimbia eneo la mapigano,sijaona maiti hata moja hapo.
 
Sababu zenyewe vita muda wowote.

Jeshi letu ni kubwa ili magari yatoshe jeshi zima itahitajika zaidi ya 500bil.

Ushauri kiundwe kitengo cha jeshi cha kutengeneza vifaa vyao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi sikia eti jeshi la ardhin linaongoza ni kweli?
 
Hao ni kuwashambulia kwa drones za Iran tu
Kwenye vita hakuna kulialia ni kujipanga tena na kuwafumua tu
 
Jamani Hawa IS si watu wazuri
Kuna jamaa anatengeneza maboti pale Slipway boat yard mwarabu wa Mombasa naskia nae ni member inabidi achunguzwe maana siku chache zilizopita ulizuka moto Slipway
Unatakiwa uisaidie Police
 
Hata kama naishi kwa dada yangu bado ukweli utabaki vilevile kuwa kazi ya jeshi ni ya kijinga.
Unaishi kwa amri mpaka unastaafu.
Hata CDF anaishi kwa amri, je hawa ma junior!!
Kwahiyo unapendekeza kusiwe na Jeshi sio.
Kama kazi ngumu vipi wafanyakazi wa monchwari.

Maana ya maisha ni lazima kuwe na watu wa kujitolea kufanya kazi ngumu ili wengine walio wengi waishi salama.

Kazi ya Jeshi sio ya ajira bali ni ya Kujitolea.
Yaani kujitoa mhanga wa roho yako ili wengine wawe salama.

Ingependeza kuwa na kauli za kuwatia moyo badala ya kuwadhihaki.
 
Amani tuliyo nayo inatuponza, tumeona hatuwezi kuwekeza kwny vitu ambavyo c kipaumbele, na kwa upande mwingine bora lilivyotokea sasa tutaviingiza hivyo vifaa bila wananchi kulalama maana tutakua tumesha ona umuhimu wake
 
Sababu zenyewe vita muda wowote.

Jeshi letu ni kubwa ili magari yatoshe jeshi zima itahitajika zaidi ya 500bil.

Ushauri kiundwe kitengo cha jeshi cha kutengeneza vifaa vyao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
B500 ndio ya tanzania kuumizia kichwa!!? Hata ingekua T2 au 3 ni sawa tu! Shida unaweza kutia huo mzigo alafu wakaenda kununua vifaa vya miaka ya 70
 
Mchambuzi wa masuala ya kijeshi hapa jf.

Jamaa angefaa Sana kulitumikia jeshi letu maana Sina uhakika kama Ni mjeda.
Mimi nahisi ni mjeda. Unajua kwa mtu wa kawaida Kama Mimi ambae naamka tu Kisha naenda kwenye mishe zangu za kuuza kitumba pale karume,hata niwe mtu wa kufuatilia kiasi gani hizi mambo za ulinzi na usalama itaniwia vigumu Sana kujua&kujadili nondo Kama za huyu jamaa. Inabidi uwe kwenye hiyo circle ndiyo uweze kutoa hizi nondo ambazo ziko deep kiasi hiki.

Ambacho namkubali mwamba T14 Armata Ni kwamba yyko deep na hata umkosoe hana lugha za kujibizana kimaudhi na Wala hana tabia ya kuvaa utukufu. Very humble guy!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama naishi kwa dada yangu bado ukweli utabaki vilevile kuwa kazi ya jeshi ni ya kijinga.
Unaishi kwa amri mpaka unastaafu.
Hata CDF anaishi kwa amri, je hawa ma junior!!
Ni kazi ya hovyo mkuu wala hujakosea.
 
mtegemee Mungu we unadhani binadamu mwenzako anaweza kukuinda na chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…