BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #41
Hakuna Mtihani wa Taifa, mitihani iko levo za shule, umeelewa? Mbona iko Mataiga mengi? Kilicho futwa ni mtihani wa TaifaElimu bila mitihani hiyo sio elimu hata mara moja. Marekani, Uk, Norway kote wanafanya mitihani na bado ukitaka kwenda nje ya nchi kusoma wanataka tena ufanye mtihani wao wa kiingereza ili kukupima huku marekani ndio unafanya na pepa la hesabu. Msije mkadanganywa ninyi elimu bila mitihani sio elimu.
Nyie ndo hiwa mnashanhilia watoto wenu kuwa wa kwanza Darasani wakati unaona kabisa mtoto ni zero kichwani. Kenya swala la kuwapima watoto limeachwa kwenye mashule husika make walw ndo wako na wanafunzi wanawajua na sio mambo eti mtihani wa Taifa.Elimu bila mitihani hiyo sio elimu hata mara moja. Marekani, Uk, Norway kote wanafanya mitihani na bado ukitaka kwenda nje ya nchi kusoma wanataka tena ufanye mtihani wao wa kiingereza ili kukupima huku marekani ndio unafanya na pepa la hesabu. Msije mkadanganywa ninyi elimu bila mitihani sio elimu.
Hii mada imeshajadiliwa sana kwenye formal platformsKenya wameona mbali sana ni kwa bahati mbaya sisi tumelala usingizi na hakuna anaye jali wala kushituka
Mkuu tupo CBC kwenye makaratasi ila kiuhalisia hatupo huko. CBC inahitaji pesa nyingi sana kitu ambacho kwa serikali yetu bado sana.Hii mada imeshajadiliwa sana kwenye formal platforms
We are using competency based curriculum… Tatizo ni ufundishaji
But on paper inaonekana tuko Kwenye CBC
Niwaombe vijana wengi humu… kama tunataka kujifunza, basi tuwe tunauliza
Tusikie na majibu yetu mfukoni na kujiaminisha kwamba tuko sahihi
Tutazidi kuwa wajinga and backward
Hata wa kenya hihi system inawashinda they are not as competent as mnavo fikiria, waKenya wengi mkazo wao uko kwenye lugha na kupata minimum basic skills za ku ajiriwa tu......elimu ya Tz sio mbaya kivile kwa wale wanao weza kichaguwa shule nzuri na kumudu ada zao.Mkuu tupo CBC kwenye makaratasi ila kiuhalisia hatupo huko. CBC inahitaji pesa nyingi sana kitu ambacho kwa serikali yetu bado sana.
Naona akili yako inawaza wanaume tu. Sasa hapo wanaume tunaingiaje?Naunga huu mfumo wa elimu wa competency based ni mzuri na muhimu na unafundisha kufikiria nje ya box mwanaume asipimwe tu kwa kigezo kimoja Cha ufaulu na ku ignore mambo mengine
Nani ana muda wa kufanya hayo mabadiliko ?Safi Sana. Elimu yetu ni Ile alioicha mkoloni hadi sasa ndo hiyo hiyo. Kipindi kile ilikuwa kuwaanda watu kwa ajili ya kufanya kazi maofsini lakini siku hizi maisha yamebadilika,lakini elimu ni Ile ile.
Wabadilishe mfumo mzima wa elimu
Wakenya sio competent ? Kakuambia nani ? Angalia mashirika mengi ya kimataifa, hesabu wakenya halafu hesabu na watanzania halafu urudi hapa utuambie wengi ni kina nani na kwa niniHata wa kenya hihi system inawashinda there not as competent as mnavo fikiria, waKenya wengi mkazo wao uko kwenye lugha na kupata minimum basic skills za ku ajiriwa tu......elimu ya Tz sio mbaya kivile kwa wale wanao weza kichaguwa shule nzuri na kumudu ada zao.
Now you are talkingMkuu tupo CBC kwenye makaratasi ila kiuhalisia hatupo huko. CBC inahitaji pesa nyingi sana kitu ambacho kwa serikali yetu bado sana.
Wapi wanatukimbiza na wewe?!Kabisa,Hahaa jamaa wana mfumo mzuri ndo maana huwa wanatukimbiza balaaa,
Hapo umeambiwa ukweli mtupu ili kwa sababu umekamatika na uwongo wao huwezi kuamini.Wakenya sio competent ? Kakuambia nani ? Angalia mashirika mengi ya kimataifa, hesabu wakenya halafu hesabu na watanzania halafu urudi hapa utuambie wengi ni kina nani na kwa nini
Una tatizo wewe angalia content niliyoandika sio ku pick jambo moja na kubadili maana yangu, pia wewe ni nani unipangie Cha kuwaza, hafu hyo ya wanaume kuwawaza kichwani mwangu umejuaje?Naona akili yako inawaza wanaume tu. Sasa hapo wanaume tunaingiaje?
Tatizo wengi munao andika na kuponda elimu na wanafunzi wa Tz hamjawahi kuenda kenya, au ku ishi na wa Kenya mna waona tu hao wanao kuja hapa kwetu kutafuta Green pasture,........ wanacho tuzidi sanaa Tz, ni kuweka kiingereza kupaumbele ila pia pamoja na hilo kuna wakenya zaidi ya 60% wanao maliza darasa la 8 hawawezi kuongea na kuandika kiingereza fasaha, na kiswahili ndo hivo, njooni Kenya hutaitamani kabisa.......ni ubabaishaji utupu.Wabongo pamoja jitihada za kukaririshwa hizo past papers bado wanafunzi kibao wa form one hawajui kusoma wala kuandika.
Jibu hili swali kwanza.Mungu nijalie nipate mafezwa mwanangu asome international school huu ujinga wa kukariri na kupata tu A ka kigezo Cha akili Mimi kwangu naona Kuna uwalakini
Wabongo pamoja jitihada za kukaririshwa hizo past papers bado wanafunzi kibao wa form one hawajui kusoma wala kuandika.
Majibu ya swali hilo naomba yajibiwe na wizara ya elimu.Jibu swali.
Kwanini wanakariri??
Sisi vijana wanawaza Kuteuliwa tuKabisa,Hahaa jamaa wana mfumo mzuri ndo maana huwa wanatukimbiza balaaa,