Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

Mbona waarabu mfumo wao wa elimu ni kukariri kumeza kama lilivyo tena kwa bakora lakini wapo poa tuu acha tukariri
 
CBC - Competence Based Curriculum kwa Tanzania ilianzishwa tangu mwaka 2016 kwa shule za msingi ikiwa na maelekezo yote ambayo yanatakiwa ili kuendana na matakwa ya CBC. Changamoto kubwa katika kutimiza matakwa ya CBC Tanzania ni kama ifuatavyo:

1. Uchache na ukosefu wa miundombinu inayo support CBC (Madarasa, maabara na maktaba).

2. Ukosefu wa maarifa ya kufundisha CBC miongoni mwa walimu walio wengi (Hasa wa zamani).

3. Idadi kubwa ya wanafunzi katika darasa moja.

4. Usimamizi mbovu wa utekelezaji wa CBC.

Tofauti ya CBC ya Kenya na Tanzania wao wameondoa mtihani wa Taifa.
 
Wabongo bhana,, mtaala ulivyobadilishwa 2015,, tulihamia kwa Competence based shida ni implementation na infrastructure zilizopo

Kuondoa mitihani ya taifa sio sehemu ya competence based, mitihani inayoondolewa ni ile ya taifa ila sio ya ndani,,

Kinachobadilika kwenye competence based ni ushirikishwaji wa mwanafunzi darasani na kuangalia/kujifunza somo husika kwa angles mbali mbali ambazo zitafanya mwanafunzi afikie level ya juu kabisa kwenye content ambayo ni evaluation

Kwa nchi kama kenya kuondoa mitihani itawacost sanaaaa due to the number of various needs of a person na society yake,, means mtu wa kericho atakuwa na ujuzi wa kutatua matatizo ya kericho tu na sio nyamakoroto
 
Student centered kwa haya madarasa wanayokaa watoto wenu 120 darasa moja?. Serikali haitaki kuwekeza kwenye elimu na mbaya hawataki kusema wameshindwa kutoa elimu bure wazazi washirikishwe.
Kwa hiyo waendelee kukaririshwa mkuu?
 
Na kuondoa mthani wa taif kenya itawacost sana
 
International school hawafuati mitala ya Tanzania, Kenya wamebadili mitaala yao kwa nchi nzima, hivi wewe ni asilimia ngapi ya Watanzania wanasoma hizo International school unazo sema? Nazani hata asilimia 1 haifiki
Wala hazungumzii international schools mkuu atakuwa anazungumzia English medium...
 
Bongo ni nchi yenye laana..hasa viongozi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aiseeh namshukuru Mungu wanangu walishazoe huko na ongea yao ya ajabu ila kiukweli wapo smart sana kichwani lakini zaidi ubahili naona wanajifunza mno
Tusaidiane hizo shule nzuri za kenya..na mimi wangu nataka niwapeleke huko..elimu ya hii nchi niyakuzalisha wapiga kura feki tu..haina maana...ukitaka kujua hilo cheki kama kuna kiongozi wa ngazi za juu mwanae anayesoma st.kayumba.

#MaendeleoHayanaChama
 
Angalia vichwa vya habari siku ya kesho ndo utajua zerikali imejikita kwenye mambo gani.
 
Ndalichako anapambana kuzalisha vilaza nchini na sio kubadili mitazamo ya uelewa na ndio maana hata viongozi wetu wanatatua matatizo rahisi kwa njia ngumu wakati nyepesi zipo Dunia ishatoka kwenye kufundishana darasani sasa wako kwenye kutengeneza ujuzi na diploma mataifa mengine ni elimu kubwa sana sana
 
Acha ujinga wewe..kasema mitihani ya taifa..jaribu kuelimika basi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tz bado wanaamini kubadili mitaala ni sawa na CCM kujitia kitanzi .
Ubovu wa mitaala ni kete muhimu sana kwa CCM maana wanaamini waTanzania wakieleimika inawawia ngumu sana wao kutawala
Ccm ndio true definition ya mkoloni mweusi.

#MaendeleoHayanaChama
 

Hizi changamoto ni lini zitatatuliwa? Mpango toka 2016 mpaka sasa 2020 utekelezaji utaanza lini?
Mi naamini SIASA za nchi hii chini ya CCM labda apatikane Magufuli mwingine japo nae huko kwenye elimu alipatelekeza. Elimu ndo ukombozi wa taifa lo lote lile
 
Hujapitia technical school nini?
Ndo the same
 
Lazima tuandae walimu,vyumba vya madarasa vya wanafunzi 40 na mengineyo.
Kumbe uCCM huwa unakufanya zuzu wakati nnje ya uCCM una hoja za msingi!!
Kongole kwa uliyoyaandika.
 
Na kuondoa mthani wa taif kenya itawacost sana
Cost zipo Tena kubwa mfano hawawezi jiunga vyuo vingi vya nje vinavyohitaji mitihani ya kitaifa mfano vyuo Kama vya Tanzania Kama chuo kikuu Cha Dar es salaam , uingereza ,Asia na Ulaya


Vyuo pekee wanavyoweza kujiunga navyo ni vya Marekani sababu Marekani huwa hawana mitihani ya kitaifa lakini upo kwa mgongo wa nyuma kabla kujiunga chuo kikuu Marekani Kuna mitihani ambayo lazima ufanye hutolewa na serikali ya Marekani inaitwa SAT ni mitihani ya kitaifa ya kupima uwezo wa mtu kujiunga chuo kikuu Walichofanya Kenya ni kuahirisha tu mbeleni vijana wao watakutana nayo labda waishie kusoma vyuo vya ndani ya kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…