babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Watakudanganya wewe usio wafahamu.Mkuu acha ubishi uchwara. Wakenya wapo vizuri kila idara huwezi kuwafananisha na watanzania vilaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakudanganya wewe usio wafahamu.Mkuu acha ubishi uchwara. Wakenya wapo vizuri kila idara huwezi kuwafananisha na watanzania vilaza.
Kwa hiyo waendelee kukaririshwa mkuu?Student centered kwa haya madarasa wanayokaa watoto wenu 120 darasa moja?. Serikali haitaki kuwekeza kwenye elimu na mbaya hawataki kusema wameshindwa kutoa elimu bure wazazi washirikishwe.
Na kuondoa mthani wa taif kenya itawacost sanaCBC - Competence Based Curriculum kwa Tanzania ilianzishwa tangu mwaka 2016 kwa shule za msingi ikiwa na maelekezo yote ambayo yanatakiwa ili kuendana na matakwa ya CBC. Changamoto kubwa katika kutimiza matakwa ya CBC Tanzania ni kama ifuatavyo:
1. Uchache na ukosefu wa miundombinu inayo support CBC (Madarasa, maabara na maktaba).
2. Ukosefu wa maarifa ya kufundisha CBC miongoni mwa walimu walio wengi (Hasa wa zamani).
3. Idadi kubwa ya wanafunzi katika darasa moja.
4. Usimamizi mbovu wa utekelezaji wa CBC.
Tofauti ya CBC ya Kenya na Tanzania wao wameondoa mtihani wa Taifa.
Wala hazungumzii international schools mkuu atakuwa anazungumzia English medium...International school hawafuati mitala ya Tanzania, Kenya wamebadili mitaala yao kwa nchi nzima, hivi wewe ni asilimia ngapi ya Watanzania wanasoma hizo International school unazo sema? Nazani hata asilimia 1 haifiki
Bongo ni nchi yenye laana..hasa viongozi.Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri.
Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani ya Taifa, hivyo kwa walio anza na huu mfumo hawatakuwa na kitu kinaitwa mitihani ya Taifa bali watapimwa mashuleni mwao.
Huu mfumo pamoja na kwamba ni ghari sana lakini ni mfumo mzuri kabisa wa wakati huu, huu mfumo watoto wana fanya Practical zaidi, group work na Group Discusion kuliko kaukaririshwa vitu na Kwa wale wenye watoto wanao soma zile shule za mbele za International School, wanatumia sana huu mifumo pia.
Tanzania bado tunawakaririsha wanafunzi, kuna she moja nilishangaa kukuta Wanafunzi wa Darasa la saba tangu janauary hadi wanahitimu walikuwa wana solve tu past paper, yaank ni mwendo wa past paper mwanzo mwisho, tujiulize mwanafunzi anapata nini kwenye hizo past paper zaidi ya kukariri?
Pia hii mifumo ya mitihani ya Taifa isha pitwa na wakati, na hii ndo inafanya shule zijikite kukaririsha watoto past paper, watoto wanafundishwa kujibu paper na sio kuelewa mambo.
Tuna lag behind.
Tusaidiane hizo shule nzuri za kenya..na mimi wangu nataka niwapeleke huko..elimu ya hii nchi niyakuzalisha wapiga kura feki tu..haina maana...ukitaka kujua hilo cheki kama kuna kiongozi wa ngazi za juu mwanae anayesoma st.kayumba.Aiseeh namshukuru Mungu wanangu walishazoe huko na ongea yao ya ajabu ila kiukweli wapo smart sana kichwani lakini zaidi ubahili naona wanajifunza mno
Acha ujinga wewe..kasema mitihani ya taifa..jaribu kuelimika basi.Elimu bila mitihani hiyo sio elimu hata mara moja. Marekani, Uk, Norway kote wanafanya mitihani na bado ukitaka kwenda nje ya nchi kusoma wanataka tena ufanye mtihani wao wa kiingereza ili kukupima huko marekani ndio unafanya na pepa la hesabu. Msije mkadanganywa ninyi elimu bila mitihani sio elimu.
Ccm ndio true definition ya mkoloni mweusi.Tz bado wanaamini kubadili mitaala ni sawa na CCM kujitia kitanzi .
Ubovu wa mitaala ni kete muhimu sana kwa CCM maana wanaamini waTanzania wakieleimika inawawia ngumu sana wao kutawala
Mitaala yetu ya ovyo na yenye kukakarisha wanafunzi ndiyo iliyotufikisha hapa. Badala ya wanasiasa kushughulikia matatizo ya elimu, wanashughulikia matumbo yao mapana yasiyojaa.
View attachment 1992690
CBC - Competence Based Curriculum kwa Tanzania ilianzishwa tangu mwaka 2016 kwa shule za msingi ikiwa na maelekezo yote ambayo yanatakiwa ili kuendana na matakwa ya CBC. Changamoto kubwa katika kutimiza matakwa ya CBC Tanzania ni kama ifuatavyo:
1. Uchache na ukosefu wa miundombinu inayo support CBC (Madarasa, maabara na maktaba).
2. Ukosefu wa maarifa ya kufundisha CBC miongoni mwa walimu walio wengi (Hasa wa zamani).
3. Idadi kubwa ya wanafunzi katika darasa moja.
4. Usimamizi mbovu wa utekelezaji wa CBC.
Tofauti ya CBC ya Kenya na Tanzania wao wameondoa mtihani wa Taifa.
Lazima tuandae walimu,vyumba vya madarasa vya wanafunzi 40 na mengineyo.Kenya walimu wanalalamikia sana huo mfumo .Hakuna mwalimu aliyeandaliwa kufundisha huo mfumo vyuoni .Walipelekwa seminar tu ya siku tatu wakaambiwa anzeni kufundisha
Mfumo huo una operate kwa sehemu kubwa kwa mfumo wa projects kwa kila mtoto kuwa na project yake almost every week aifanye na mwalimu usome hiyo ripoti yake u discuss na mtoto mmoja mmoja unakuwa Kama supervisor wa dissertation ya kila mwanafunzi.Wanasema kazi ni nyingi na wanachoka mno wakati mishahara haiongezwi
Mwalimu hayuko competent based hajawahi Soma chuo halafu unamtaka afundishe competent based children!!!
Hii kufanikiwa serikali itabidi ianze kuchukua best students division one ndio wawapeleke kusomea huo ualimu sio haya mazuzu yaliyopata division three na four yakaenda ualimu ambayo Sasa hivi yanafanya kazi za ualimu na uofisa elimu
Walimu kwanza wanatakiwa kupikwa vyuoni kwanza tusikurupuke Kama wakenya
Mitihani ya taifa inafanywa kote duniani, wewe ndio mjinga. Watanzania mnajifanyaga wajuaji sana wakati kichwani zero.Acha ujinga wewe..kasema mitihani ya taifa..jaribu kuelimika basi.
#MaendeleoHayanaChama
Cost zipo Tena kubwa mfano hawawezi jiunga vyuo vingi vya nje vinavyohitaji mitihani ya kitaifa mfano vyuo Kama vya Tanzania Kama chuo kikuu Cha Dar es salaam , uingereza ,Asia na UlayaNa kuondoa mthani wa taif kenya itawacost sana