Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

Acha ushirikina kijana
 
Naweza kukusaidia. Ninao utaalamu. Kama ulivyo tangaza ila ni vyema ungetafautisha uwelewa wako wa majini ya kawaida na majini marauhani... Kawiho kabla sijakusaidia ni vyema ungenifafanulia umetumia Bughuri gani kuyatambua kua Marauhani sio majini ya kawaida?
 
Maruhani ni mapepo na mapepo ni mawakala wa shetani, huwezi kuongea na shetani bila ww pia kuwa wakala WA shetani!

Mm nikiongea nayo nitayafukuza kabisa, maana sina urafiki na maruhani, hivyo kama unata niyafukuze kabisa nipe hiyo kazi, nitakufanyia bure mm! Nakuja hapo na jina La Yesu Tu!
 
Ah ufafanuzi tena kuhusu majini na maruhani ina maana ww mwenyewe huelewi tofauti pamoja na kuwa una uwezo huo.
 
Ah ufafanuzi tena kuhusu majini na maruhani ina maana ww mwenyewe huelewi tofauti pamoja na kuwa una uwezo huo.
Ww umetangaza kumtafuta mtaalamu anaeweza kuongea na MARAUHANI. Mimi bado ujanikutanisha na mlengwa. Kuna utafauti wa baina jini wa kawaida na marauhani.ingawa yote ni majini.. Kitaaluma kuna vitu unafanya na kusoma kuwatafautisha ila ww tayari umeshatangaza kua ni Marauhani. Kwahiyo mimi mimi kabla sijakufanyia kazi ni lazma unidhibitishe.ili tuweze kuelewana.. Lasivyo itanilazimu nikufanyie kazi ya ziada.
 
Ah ufafanuzi tena kuhusu majini na maruhani ina maana ww mwenyewe huelewi tofauti pamoja na kuwa una uwezo huo.
Maruhani ni nini?
uzi mwingine tena huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…