Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

KAma ulivosema utakuwa hujui ipi ni ipi! Kuna mwanamke nilimpendaga sana ila nilishindwana nae kwa tatizo hilohilo, umeshawai kula mboga nyama ilionywewa supu halafu iliobaki ikawa mboga? Ghafla hamu ya kula inaisha! Ila sababu aliyoisema kuwa wanashiriki na wanaume wengi, labda iwe ni moja kati ya sababu nyingi. Mwingine kule ndani hauhisi chochote ni kama unapiga nyeto.
 
Huo utafiti ulifanyika wapi
 
Inaonekana zinaa zimekufilisi ukaamua uokoke kupunguza matumizi sio kwa experience hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Inaonekana zinaa zimekufilisi ukaamua uokoke kupunguza matumizi sio kwa experience hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
of course, hazijanifilisi kwasababu zilinikuta kwenye profession, ila nilikutana na Mungu moyoni, akanisaidia kuiacha, na ndio dhambi ninayopambana nayo kwa nguvu zote shetani huwa anafikiri atanirudisha na mimi ndio naiona adui yangu namba moja. umesema kweli. na siwezi kukataa kwamba zinaa ilishawahi kunipiga matukio ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…