Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

Namshukuru Mungu nimeokoka, na ninachangia huu uzi kwasababu tu ya kujali heshima ya wanawake, walau niwatetee kidogo, viumbe walionileta duniani na ambao wametumika kama faraja kwangu maisha yaliyo mengi.

zamani hizo, nilitembea na wanawake wengi, sijui hata idadi. warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, walionizidi umri na walio kama watoto wangu kiumri, katika hayo yote SIJAWAHI KUKUTANA NA SEHEMU ZA SIRI ZA BARIDI, huwa naamini wanawake wote ni wa moto. kuna mmoja alikuwa ananiambia "mimi wa moto", watu huwa wanasema mimi wa moto, nilipokuwa naye nikaona yupo tu kama wengine. hivyo tuachane na dhana hii kwamba kuna wa moto na wa baridi. nimeishi ulaya miaka kadhaa pia, america etc, nawafahamu wazungu, wachina, wahindi, na latinos. kuna mbongo mmoja hapa dsm aliwahi nambia "vipi wazungu huko mliko wapoje nasikia wazungu sio wa moto kama blacks" nilimcheka tu, kwasababu wanadamu wote wana jotoridi linalofanana, mimi sikuona tofauti yeyote, as long kuna utelezi na nimeingia vya kutosha kuna msuguano awe amebana miguu au amepanua nilikuwa nahisi radha ile ile ya vagina zote zilivyo. sijui, labda nina shida ya kutambua ladha au nini? manake hata wale wanene utasikia mwanamke mnene ana joto zaidi, nooo, ni wale wale tu, kinachozidi kwa mwembamba ni ile minyamanyama imeduna na kupunguza upana pale mlangoni au itasaidia kubana na utafikiri joto limezidi kumbe minyama imesaidia msuguano zaidi, ila wote wakipanua miguu kushoto kulia ikawa wide enough wapo sawa tu na joto ni lile lile tu. mtaniwia radhi kwa niliowaudhi.
KAma ulivosema utakuwa hujui ipi ni ipi! Kuna mwanamke nilimpendaga sana ila nilishindwana nae kwa tatizo hilohilo, umeshawai kula mboga nyama ilionywewa supu halafu iliobaki ikawa mboga? Ghafla hamu ya kula inaisha! Ila sababu aliyoisema kuwa wanashiriki na wanaume wengi, labda iwe ni moja kati ya sababu nyingi. Mwingine kule ndani hauhisi chochote ni kama unapiga nyeto.
 
"Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa Umesimama katika hali ya Joto ukiingia Unapoozwa haraka na Mishipa kulegezwa na ule Ubaridi na hatimaye anajikuta Nguvu zimepungua ghafla au zimeisha kabisa na hawezi Kufanya Tendo" amesema Mtaalam wa Mahusiano na Ngono nchini.

Kuanzia sasa nitajitahidi kabla sijauchomeka Wote hadi Breki P niwe napima Joto la Mlango Bahari ya Utamu Utamu.
Huo utafiti ulifanyika wapi
 
Namshukuru Mungu nimeokoka, na ninachangia huu uzi kwasababu tu ya kujali heshima ya wanawake, walau niwatetee kidogo, viumbe walionileta duniani na ambao wametumika kama faraja kwangu maisha yaliyo mengi.

zamani hizo, nilitembea na wanawake wengi, sijui hata idadi. warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, walionizidi umri na walio kama watoto wangu kiumri, katika hayo yote SIJAWAHI KUKUTANA NA SEHEMU ZA SIRI ZA BARIDI, huwa naamini wanawake wote ni wa moto. kuna mmoja alikuwa ananiambia "mimi wa moto", watu huwa wanasema mimi wa moto, nilipokuwa naye nikaona yupo tu kama wengine. hivyo tuachane na dhana hii kwamba kuna wa moto na wa baridi. nimeishi ulaya miaka kadhaa pia, america etc, nawafahamu wazungu, wachina, wahindi, na latinos. kuna mbongo mmoja hapa dsm aliwahi nambia "vipi wazungu huko mliko wapoje nasikia wazungu sio wa moto kama blacks" nilimcheka tu, kwasababu wanadamu wote wana jotoridi linalofanana, mimi sikuona tofauti yeyote, as long kuna utelezi na nimeingia vya kutosha kuna msuguano awe amebana miguu au amepanua nilikuwa nahisi radha ile ile ya vagina zote zilivyo. sijui, labda nina shida ya kutambua ladha au nini? manake hata wale wanene utasikia mwanamke mnene ana joto zaidi, nooo, ni wale wale tu, kinachozidi kwa mwembamba ni ile minyamanyama imeduna na kupunguza upana pale mlangoni au itasaidia kubana na utafikiri joto limezidi kumbe minyama imesaidia msuguano zaidi, ila wote wakipanua miguu kushoto kulia ikawa wide enough wapo sawa tu na joto ni lile lile tu. mtaniwia radhi kwa niliowaudhi.
Inaonekana zinaa zimekufilisi ukaamua uokoke kupunguza matumizi sio kwa experience hizo 😂😂😂😂🙌
 
of course, hazijanifilisi kwasababu zilinikuta kwenye profession, ila nilikutana na Mungu moyoni, akanisaidia kuiacha, na ndio dhambi ninayopambana nayo kwa nguvu zote shetani huwa anafikiri atanirudisha na mimi ndio naiona adui yangu namba moja. umesema kweli. na siwezi kukataa kwamba zinaa ilishawahi kunipiga matukio ya kutosha.
 
Back
Top Bottom