Ukisikia video yake ya mwisho mr. Kuku ni kuwa akaunti zao zote zimekuwa frozen zinachunguzwa na serikali, hivi unadhani huo uchunguzi unaisha leo? na je kuna faida tena hapo ya kurudisha gawio!?
Atakuwa amepigwa kwenye Mapapai au Matikiti maji huko MkurangaMkuu ulipigwa kwenye Forex au mayai ya kwale?
hahahahaha. wajinga ndio waliwaoMotivesheno spika siyo watu [emoji16][emoji16]
View attachment 1504017
Vp we Unataka mzamo mzima??Eti mzamo nusu[emoji15][emoji15]
Shwaini wewe!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna ishu Fulani inaitwa Nertwork makerting vipi mazee ina helaa???
[emoji23]Niliwahi kupigwa kijinga sana, tena nilishawishiwa na vitoto vya Chuo... kwa jeuri na kuonesha utofauti basi nikajitupia 800k.
Niliambulia 40k tu, ambayo alinigawia aliyeniingiza kama nusu ya kamisheni yake.
Nilijifunza kwa ada kubwa, sitarudia tena ujinga.
Rise Africa, maanina zao!
Kama ilikuwa kampuni imesajiliwa brela ina vibari yeye kateneneza tangazo inamhusu vipi sasa?Joti lazima ale bindo hapa,maana yeye alishiriki mpaka kutengeneza tangazo
Na ujue kabisa unanunua hisa kwa malengo gani?Ya muda mfupi au muda mrefu.Tuongeze uelewa tununue hisa za makampuni makubwa duniani sio hizi za kibongo, pasua kichwa!
Mkuu umenikumbusha shule ya msingi tulikuwa tunaweka nyoya la kanga katikati ya daftari tukiamini atakua ndege mzima! Kumbe zile akili kuna watu wamekua nazo!
Hivi ni nyoya la tausi?! Long time. Eti yale maganda ndio chakula cha tausi!Baba Batalingaya...
Na wewe uliweka nyoya la tausi katikati ya daftari na kuweka maganda ya kalamu iliyochongwa kama chakula cha nyoya la tausi?
Aahahahaaahahahahahaaaaaaa
Unasalimiwa na Lulu Mb.g. na wale mapacha wakiume ambao nywele zao zilikuwa lainiii.
Karibu umung'unye ubuyu wa Babu Issa.
Rise africa...Fall Americaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko sahihi Sana broHii inakupa tafsiri kwamba shida ya watanzania wengi si mitaji, bali hofu ya kuanzisha project zao binafsi na kuzikuza, wanaishia kudandia fake projects kwa matarajio ya kulinda mitaji huku wakivuna faida
Hivi ni nyoya la tausi?! Long time. Eti yale maganda ndio chakula cha tausi!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]huu uzi unachekesha, lakini pia unajifunza...
Mliotapeliwa Msiwe wa pweke,
Kwani si karibia kila mtu humu amelizwa zile 50Mil za kila kijiji?
Au labda zipo kwenye mzunguko, October ndio tunapata gawio.
Hahaa haa haaHayo ndio matunda ya ufugaji & kilimo cha Watsap.
Mamaeee wazee wabendera fuata upepo ..Ilibaki kidogo tu niingie nilishafanya hadi study dodoma kuna watu walikuwa na viwanda vidogo vidogo, kabla sijaamua vizuri, bandiko la TFDA likatoka kuwa hayo mafuta si salama kwa afya hasa figo, mzigo ukaishia hapo!
HahahadNiliwahi kupigwa kijinga sana, tena nilishawishiwa na vitoto vya Chuo... kwa jeuri na kuonesha utofauti basi nikajitupia 800k.
Niliambulia 40k tu, ambayo alinigawia aliyeniingiza kama nusu ya kamisheni yake.
Nilijifunza kwa ada kubwa, sitarudia tena ujinga.
Rise Africa, maanina zao!