Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN.

Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa mara hivyo kutolewa kwenye huduma.

Mary pia amemuongelea Pilot na kumpa kongole kwa kuishusha ndege kwenye maji bila kuigonga(Landing instead of crash). Mary amesema ndege hazifanyi boti na ikidondoka majini huzama.

Amemaliza kwa kusema watu 26 kupona kwenye 43 ni takwimu nzuri sana kwenye ajali za sekta ya anga.

Nami namaliza, inachukua dakika 4-6 kwa binadamu aliyezama majini bila kuibuka kufariki. Labda changamoto iwe mawasiliano, kinyume na hapo tushukuru waliowahi lakini kwa nchi nyingi idadi ya vifo ingebaki kama ilivyo na ile inabaki kuwa ajali.

Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR zimeacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali ya mara kwa mara hivyo kutolewa kwenye huduma.

Mary pia amemuongelea Pilot na kumpa kongole kwa kuishusha ndege kwenye maji bila kuigonga(Landing instead of crash). Mary amesema ndege hazifanyi boti na ikidondoka majini huzama.

Amemaliza kwa kusema watu 26 kupona kwenye 43 ni takwimu nzuri sana kwenye ajali za sekta ya anga.

Nami namaliza, inachukua dakika 4-6 kwa binadamu aliyezama majini bila kuibuka kufariki. Labda changamoto iwe mawasiliano, kinyume na hapo tushukuru waliowahi lakini kwa nchi nyingi idadi ya vifo ingebaki kama ilivyo na ile inabaki kuwa ajali.

"Dakika 4 kwa mtu kufa akiwa ndani ya maji kwa kukosa hewa"
Sawa!
Swali kwako Replica !

Je!
Yule kijana #Majaliwa alitumia muda gani kufika hadi kwenye Ndege,huku akitumia mtumbwi wa kasia na kukuta bado watu wakiwa hai?

Je!
Unaweza kutuonyesha clip ya hata,askari mmoja wa kikosi cha uokoaji cha serikali aliyekuwa sambamba na wavuvi wale on time?

Je!
Kama mkuu wa mkoa wa Kagera alifika eneo la tukio,na kuuthibitishia Umma kupitia vyombo vya habari.
Kwamba ameweza kuongea na walioko ndani ya ndege,hiyo yote ilikuwa ni ndani ya hizo dakika nne zako?

Hapa tunajiuliza na kutathmini u-haraka wa kuweza kufika eneo la tukio na kufanya kinachowezekana kwa wakati!

Huyo mzungu wa CNN,ametoa maoni yake kuhusiana na "Rapid response emergency landing capability of the pilot"

Hakutoa maoni kuhusu umbali wa tukio kutoka pwani ya ziwa na kingo za uwanja wa ndege.

Suala la umri na uchakavu wa ndege,linabaki kuwa technical faults,sisi tunaongelea uzembe wa serikali katika uokozi wa majanga.

Sijui wewe umetumwa kumtetea nani?

Ni CCM au Kutetea Serikali?
Alamsikhi!
10101.
 
"Landing instead of crash" nimejifunza jambo moja hapo.

Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka.

Kilichosababisha abiria kupoteza maisha ni ndege kuzama kwasababu ya kutua majini, kitu kilichosababisha maji kuingia ndani ya ndege na baadhi ya abiria kupoteza maisha kwa kukosa hewa.

Rubani alijitahidi kwa uwezo wake, ni vile tu hakuwa na option; nampa hongera popote alipo, RIP.
 
Wenyewe wanasema maji ni salama zaidi ndege kutua kuliko nchi kavu ikitokea dharula isiyohimilika, plain surface ilikuwepo mita mia pembeni ambayo ni uwanja wa ndege uliotengenezwa mahususi kwa ajili ya ndege kutua na kupaa..
 
"Dakika 4 kwa mtu kufa akiwa ndani ya maji kwa kukosa hewa"
Sawa!
Swali kwako Replica !

Je!
Yule kijana #Majaliwa alitumia muda gani kufika hadi kwenye Ndege,huku akitumia mtumbwi wa kasia na kukuta bado watu wakiwa hai?

Je!
Unaweza kutuonyesha clip ya hata,askari mmoja wa kikosi cha uokoaji cha serikali aliyekuwa sambamba na wavuvi wale on time?

Je!
Kama mkuu wa mkoa wa Kagera alifika eneo la tukio,na kuuthibitishia Umma kupitia vyombo vya habari.
Kwamba ameweza kuongea na walioko ndani ya ndege,hiyo yote ilikuwa ni ndani ya hizo dakika nne zako?

Hapa tunajiuliza na kutathmini u-haraka wa kuweza kufika eneo la tukio na kufanya kinachowezekana kwa wakati!

Huyo mzungu wa CNN,ametoa maoni yake kuhusiana na "Rapid response emergency landing capability of the pilot"

Hakutoa maoni kuhusu umbali wa tukio kutoka pwani ya ziwa na kingo za uwanja wa ndege.

Suala la umri na uchakavu wa ndege,linabaki kuwa technical faults,sisi tunaongelea uzembe wa serikali katika uokozi wa majanga.

Sijui wewe umetumwa kumtetea nani?

Ni CCM au Kutetea Serikali?
Alamsikhi!
10101.
Uokozi unataka rasilimali watu na zinginezo, kwa umasikini wa nchi unadhani Serikali iweke rasilimali wapi, afya na elimu au viwanja vya ndege!?
 
"Landing instead of crash" nimejifunza jambo moja hapo.

Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka.

Kilichosababisha abiria kupoteza maisha ni ndege kuzama kwasababu ya kutua majini, kitu kilichosababisha maji kuingia ndani ya ndege na baadhi ya abiria kupoteza maisha kwa kukosa hewa.

Rubani alijitahidi kwa uwezo wake, ni vile tu hakuwa na option; nampa hongera popote alipo, RIP.
Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka

kABISA MKUU...HILI LILISHATOKEA HUKO DUNIANI TENA MARA NYINGI TU
 
Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN.

Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa mara hivyo kutolewa kwenye huduma.

Mary pia amemuongelea Pilot na kumpa kongole kwa kuishusha ndege kwenye maji bila kuigonga(Landing instead of crash). Mary amesema ndege hazifanyi boti na ikidondoka majini huzama.

Amemaliza kwa kusema watu 26 kupona kwenye 43 ni takwimu nzuri sana kwenye ajali za sekta ya anga.

Nami namaliza, inachukua dakika 4-6 kwa binadamu aliyezama majini bila kuibuka kufariki. Labda changamoto iwe mawasiliano, kinyume na hapo tushukuru waliowahi lakini kwa nchi nyingi idadi ya vifo ingebaki kama ilivyo na ile inabaki kuwa ajali.

View attachment 2410063
Serikali imeshindwa kuokoa watu, wavuvi ndiyo walifanya uokozi. Basi
 
Wameokolewa na nani?...
Wewe ni mpumbavu sana.
 
"Landing instead of crash" nimejifunza jambo moja hapo.

Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka.

Kilichosababisha abiria kupoteza maisha ni ndege kuzama kwasababu ya kutua majini, kitu kilichosababisha maji kuingia ndani ya ndege na baadhi ya abiria kupoteza maisha kwa kukosa hewa.

Rubani alijitahidi kwa uwezo wake, ni vile tu hakuwa na option; nampa hongera popote alipo, RIP.
Rubani amefariki
 
"Dakika 4 kwa mtu kufa akiwa ndani ya maji kwa kukosa hewa"
Sawa!
Swali kwako Replica !

Je!
Yule kijana #Majaliwa alitumia muda gani kufika hadi kwenye Ndege,huku akitumia mtumbwi wa kasia na kukuta bado watu wakiwa hai?

Je!
Unaweza kutuonyesha clip ya hata,askari mmoja wa kikosi cha uokoaji cha serikali aliyekuwa sambamba na wavuvi wale on time?

Je!
Kama mkuu wa mkoa wa Kagera alifika eneo la tukio,na kuuthibitishia Umma kupitia vyombo vya habari.
Kwamba ameweza kuongea na walioko ndani ya ndege,hiyo yote ilikuwa ni ndani ya hizo dakika nne zako?

Hapa tunajiuliza na kutathmini u-haraka wa kuweza kufika eneo la tukio na kufanya kinachowezekana kwa wakati!

Huyo mzungu wa CNN,ametoa maoni yake kuhusiana na "Rapid response emergency landing capability of the pilot"

Hakutoa maoni kuhusu umbali wa tukio kutoka pwani ya ziwa na kingo za uwanja wa ndege.

Suala la umri na uchakavu wa ndege,linabaki kuwa technical faults,sisi tunaongelea uzembe wa serikali katika uokozi wa majanga.

Sijui wewe umetumwa kumtetea nani?

Ni CCM au Kutetea Serikali?
Alamsikhi!
10101.

1. Majaliwa ni mtu aliyekuwa karibu zaidi na ndege, aliiona tangu inataka kuanguka mpaka kuanguka kwake, naturally atakuwa wa kwanza kufika pia nampongeza kwa ushajaa sio wote tungeweza kufanya kama yeye.

2. Ukimsikiliza Majaliwa, kuna mtu alimzuia kupasua kioo na pilot akampungia mkono meaning wahusika walifika dakika za mtu kuwa hai(6 max)

3. Haya ni ya wanasiasa na kuropoka kwao

Ndege ilikuwa mita 100 ndani ya maji, nimesema tangu mwanzo kwa nchi nyingi na hasa hizi za dunia ya tatu hamna response inayoweza kumobilize na kuact ndani ya dakika 4 pasipo matarajio ya janga kutokea..

Mwisho mtu mwenye mawazo kinzani na yako haimaanishi katumwa, inamaanisha ana mawazo tofauti na yako.
 
Uokozi unataka rasilimali watu na zinginezo, kwa umasikini wa nchi unadhani Serikali iweke rasilimali wapi, afya na elimu au viwanja vya ndege!?
Umaskini upi unaouongelea wewe?
Kuna nchi maskini inayomudu V8 zaidi ya 30 kwenye msafara mmoja wa kiongozi.
Na tunao uwezo wa kufanya misafara ya viongozi wa kitaifa kibao kila siku.

Kama tuna vifaru na Helikopta za jeshi na ndege za kivita.
Iweje tushindwe kununua vifaa vya kisasa vya uokozi, pamoja na mafunzo ya kisasa kwa waokozi?

Kwa umaskini upi rais anamudu kuwa angani kila siku?
IMG-20221104-WA0007.jpg
 
Umaskini upi unaouongelea wewe?
Kuna nchi maskini inayomudu V8 zaidi ya 30 kwenye msafara mmoja wa kiongozi.
Na tunao uwezo wa kufanya misafara ya viongozi wa kitaifa kibao kila siku.

Kama tuna vifaru na Helikopta za jeshi na ndege za kivita.
Iweje tushindwe kununua vifaa vya kisasa vya uokozi, pamoja na mafunzo ya kisasa kwa waokozi?

Kwa umaskini upi rais anamudu kuwa angani kila siku?View attachment 2410227
Utajiri wa nchi unaupima kwa V8!?...unaelewa nini kuhusu uchumi!?..tusiwejeze jeshi tukawekeze viwanja vya ndege ambako ajali hutokea Mara 1 kila baada ya miaka 61!!?
 
Mkuu

Kuhusu uokozi wa majeruhi wa ajali ya ndege maji ulihitaji ;-

-makomando 10 wenye Boti !
-Helkopta za kijeshi kama mbili hivi ambazo zingerushwa huu ya ndege iliyopata ajali na kushusha mnyororo kushika ndege iliyopo ziwani na kuivuta isizame iielee juu ya maji,Kumbuka kitu kikiwa kwa maji uzito hupungua!!refer physics ya form one!

-halafu Boti za makomando zingekuja kwenye ndege kuokoa wahanga majini !na zoezi hilo lingechukua Muda wa dakika 15 Hadi 30!!

Kifupi halikuwa na nia ya dhati ya kuokoa majeruhi wale,coz kuchelewa KWA masaa manne kwenye eneo la tukio ni kuonyesha kuwa walitolewa kafara KWA maslahi FULANI!!

Uwezo tunao,vifaa tunavyo ila nia hatuna ya kufanya hayo!!!
 
Mkuu

Kuhusu uokozi wa majeruhi wa ajali ya ndege maji ulihitaji ;-

-makomando 10 wenye Boti !
-Helkopya za kijeshi kama mbili hivi ambazo zingerushwa huu ya ndege iliyopata ajali na kushusha mnyororo kushika ndege iliyopo ziwani na kuivuta isizame iielee juu ya maji,Kumbuka kituo kikiwa kwa maji uzito hupungua!!refer physics ya form one!

-halafu Boti za makomando zingekuja kwenye ndege kuokoa wahanga majini !na zoezi hilo lingechukua Muda wa dakika 15 Hadi 30!!

Kifupi halikuwa na nia ya dhati ya kuokoa majeruhi wale,coz kuchelewa KWA masaa manne kwenye eneo la tukio ni kuonyesha kuwa walitolewa kafara KWA maslahi FULANI!!

Uwezo tunao,vifaa tunavyo ila nia hatuna ya kufanya hayo!!!
Hao makomandoo kumi na boti walikuwepo ziwani!? Kutoka waliko mpaka eneo la ajali ni km ngapi? Hizo helikopita zenye uwezo huo za jeshi zipo Kambi ya mwanza?..Inachukua muda gani wa kupeleka huko eneo la tukio ukiwa Kama mtaalamu wa logistic za jeshi kagera!?
 
Back
Top Bottom