Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

"Dakika 4 kwa mtu kufa akiwa ndani ya maji kwa kukosa hewa"
Sawa!
Swali kwako Replica !

Je!
Yule kijana #Majaliwa alitumia muda gani kufika hadi kwenye Ndege,huku akitumia mtumbwi wa kasia na kukuta bado watu wakiwa hai?

Je!
Unaweza kutuonyesha clip ya hata,askari mmoja wa kikosi cha uokoaji cha serikali aliyekuwa sambamba na wavuvi wale on time?

Je!
Kama mkuu wa mkoa wa Kagera alifika eneo la tukio,na kuuthibitishia Umma kupitia vyombo vya habari.
Kwamba ameweza kuongea na walioko ndani ya ndege,hiyo yote ilikuwa ni ndani ya hizo dakika nne zako?

Hapa tunajiuliza na kutathmini u-haraka wa kuweza kufika eneo la tukio na kufanya kinachowezekana kwa wakati!

Huyo mzungu wa CNN,ametoa maoni yake kuhusiana na "Rapid response emergency landing capability of the pilot"

Hakutoa maoni kuhusu umbali wa tukio kutoka pwani ya ziwa na kingo za uwanja wa ndege.

Suala la umri na uchakavu wa ndege,linabaki kuwa technical faults,sisi tunaongelea uzembe wa serikali katika uokozi wa majanga.

Sijui wewe umetumwa kumtetea nani?

Ni CCM au Kutetea Serikali?
Alamsikhi!
10101.
Black people wanadhani mzungu yuko karibu na Mungu. Katoa maoni kama wewe
 
"Mtaalamu" ushuzi. Takataka. Hii CNN imekuwa mavi kabisa. Mnafungwa akili na use.nge wa hawa takataka CNN. Bora Trump aliwaumbua kwa uwongo wa taarifa zao na taarifa za kutunga aka fake news. Kwanza anasema ndege ilikuwa inataka kupaa au "taking off", halafu sekunde chache baadaye anajisahihisha kuwa ndege ilikuwa inajaribu kutua. "Mtaalumu" hakumbuki kama ndege ilikuwa inataka kupaa au kutua, halafu baadaye anakuja na general statements za aina ya ndege na siyo taarifa kuhusu hali ya ndege yenyewe ya ajali.
 
Kwa aina ya ajali ilivyokuwa, ilikuwa inawezekana kabisa kuokolewa wote kama kitengo cha uokoaji kingekuwa kinafanya kazi inavyotakiwa ajali imetokea karibu kabisa na fukwe lakini kutokana na kitengo cha uokoaji kukosa weledi ndiyo imepelekea baadhi kufariki
 
Tanzania kuna "icy conditions" za ndege kupaa na kutua? Anajua ndege ya ajali imefanya takeoffs na landings ngapi tokea itengenezwe pamoja na repair history yake?
 
"Landing instead of crash" nimejifunza jambo moja hapo.

Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka.

Kilichosababisha abiria kupoteza maisha ni ndege kuzama kwasababu ya kutua majini, kitu kilichosababisha maji kuingia ndani ya ndege na baadhi ya abiria kupoteza maisha kwa kukosa hewa.

Rubani alijitahidi kwa uwezo wake, ni vile tu hakuwa na option; nampa hongera popote alipo, RIP.
Wewe akili yako ni pumba kabisa. Unafikiri itatua kwenye uwanja plain kirahisi ipone, kumbuka ardhi siyo godoro la sponge.
 
Sidhani- maji yangewamaliza wengi; hili ni funzo kutoka MV.Bukoba- ilitobolewa kumtoa mhindi mmoja, wa pili , meli ikazama yote hadi leo
Huyo mhindi alifankiwa kutoka salama mkuu?
 
Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka

kABISA MKUU...HILI LILISHATOKEA HUKO DUNIANI TENA MARA NYINGI TU

Hapo ndio ingelipuka yote
 
Umaskini upi unaouongelea wewe?
Kuna nchi maskini inayomudu V8 zaidi ya 30 kwenye msafara mmoja wa kiongozi.
Na tunao uwezo wa kufanya misafara ya viongozi wa kitaifa kibao kila siku.

Kama tuna vifaru na Helikopta za jeshi na ndege za kivita.
Iweje tushindwe kununua vifaa vya kisasa vya uokozi, pamoja na mafunzo ya kisasa kwa waokozi?

Kwa umaskini upi rais anamudu kuwa angani kila siku?View attachment 2410227

Vagabond
 
Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN.

Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa mara hivyo kutolewa kwenye huduma.

Mary pia amemuongelea Pilot na kumpa kongole kwa kuishusha ndege kwenye maji bila kuigonga(Landing instead of crash). Mary amesema ndege hazifanyi boti na ikidondoka majini huzama.

Amemaliza kwa kusema watu 26 kupona kwenye 43 ni takwimu nzuri sana kwenye ajali za sekta ya anga.

Nami namaliza, inachukua dakika 4-6 kwa binadamu aliyezama majini bila kuibuka kufariki. Labda changamoto iwe mawasiliano, kinyume na hapo tushukuru waliowahi lakini kwa nchi nyingi idadi ya vifo ingebaki kama ilivyo na ile inabaki kuwa ajali.

View attachment 2410063
CHADEMA wametoa press conference kuwa uwanja wa ndege wa Bukoba hauna taa ndiyo umeleta ajali wanataka Rais Samia amfute kazi mkuu wa zimamoto Dodoma kwa nini alichelewa site akawaachia wavuvi. Wanaiamuru Serikali ianzishe Mamlaka ya Dharura ikae bandari na airport zote chini ya JWTZ.
 
..serikali ipunguze manunuzi ya ma-V8 ya viongozi na badala yake wawekeze kwenye vifaa vya uokoaji.
Pia sipendelei V8 lakini hii nchi kila kitu tunasema pesa zitoke kwenye manunuzi ya V8, zitaweza kuhudumu kote!
 
1. Majaliwa ni mtu aliyekuwa karibu zaidi na ndege, aliiona tangu inataka kuanguka mpaka kuanguka kwake, naturally atakuwa wa kwanza kufika pia nampongeza kwa ushajaa sio wote tungeweza kufanya kama yeye.

2. Ukimsikiliza Majaliwa, kuna mtu alimzuia kupasua kioo na pilot akampungia mkono meaning wahusika walifika dakika za mtu kuwa hai(6 max)

3. Haya ni ya wanasiasa na kuropoka kwao

Ndege ilikuwa mita 100 ndani ya maji, nimesema tangu mwanzo kwa nchi nyingi na hasa hizi za dunia ya tatu hamna response inayoweza kumobilize na kuact ndani ya dakika 4 pasipo matarajio ya janga kutokea..

Mwisho mtu mwenye mawazo kinzani na yako haimaanishi katumwa, inamaanisha ana mawazo tofauti na yako.
Sio kwamba ndege ilipotua tu basi na maji yakawa yamejaa . Maji huingia taratibu kufuatisha upenyo utapatikana na ndege huzama taratibu kuendana na umbile lake unless mtu akitoboa eneo fulani ndege huweza kuzama ZAIDI ñdio maana wataalam walimkataza majaliwa kutoboa maana maji yangeingia kwa nguvu ya ajabu na ndege ingezama. Labda kama marubani walikua watu wa mwisho.

Kama serekali ingetekeleza wajibu wengi wangeokokewa . Nimeona mara MOJA kwenye taarifa rubani anaekekezwa peleka ndege baharini eneo la wavuvi kisha vyombo vya uokozi vinawahi eneo la tukio
 
Anasema ndege zile walikuwa wanazitumia zamani lakini wakazistukia.
Lakini anafurahi kuna baadhi ya watu wameokoka. Ndiyo mawazo yangu,mimi ni retired aircraft pilot. Ndege ikianguka ,akipona mtu yoyote ni muujiza.
Lakini it is unfortunate kwamba hii crash imetokea. They must find WHY it crashed, which,no doubt,they will. Kwa sababu The Wright Brothers invented aeroplanes a very long time ago. One would expect that by now the technology has improved.
 
NASEMA HIVI, AJALI IMETOKEA...

WALIOOKOLEWA WAMEPONA! TUNAWAOMBEA WALIOKUFA. KINACHOENDELEA SASA NI WASIFU WA MAREHEMU TU. “ILIKUWA, IKAWA...!!”
 
"Dakika 4 kwa mtu kufa akiwa ndani ya maji kwa kukosa hewa"
Sawa!
Swali kwako Replica !

Je!
Yule kijana #Majaliwa alitumia muda gani kufika hadi kwenye Ndege,huku akitumia mtumbwi wa kasia na kukuta bado watu wakiwa hai?

Je!
Unaweza kutuonyesha clip ya hata,askari mmoja wa kikosi cha uokoaji cha serikali aliyekuwa sambamba na wavuvi wale on time?

Je!
Kama mkuu wa mkoa wa Kagera alifika eneo la tukio,na kuuthibitishia Umma kupitia vyombo vya habari.
Kwamba ameweza kuongea na walioko ndani ya ndege,hiyo yote ilikuwa ni ndani ya hizo dakika nne zako?

Hapa tunajiuliza na kutathmini u-haraka wa kuweza kufika eneo la tukio na kufanya kinachowezekana kwa wakati!

Huyo mzungu wa CNN,ametoa maoni yake kuhusiana na "Rapid response emergency landing capability of the pilot"

Hakutoa maoni kuhusu umbali wa tukio kutoka pwani ya ziwa na kingo za uwanja wa ndege.

Suala la umri na uchakavu wa ndege,linabaki kuwa technical faults,sisi tunaongelea uzembe wa serikali katika uokozi wa majanga.

Sijui wewe umetumwa kumtetea nani?

Ni CCM au Kutetea Serikali?
Alamsikhi!
10101.
Ameongelea dk 4 kuzama kwenye maji kumbuka ile ndege haikuwa imezama yote. LIZAMA upande wa mbele na nyuma kubaki nje. Wale makusuku mnaolaum mnalaumu bila hata kujua kanuni za rescue. Kuna wakati unapaswa kufanya maumizi ambayo yataonekana mabaya kuliko kutokufanya kabisa. Wale waliopanda kwenye ndege toka Dar saa 12 saa 2 wakajikuta wanatolewa majini wakiwa wazima ili hali wenzao wanatolewa wakiwa wafu, hao ndo wanaotambua thamani ya Majaliwa kufungua mlango ambao tayari hata air hostess alishajaribu kuufungua lakini ukagoma kufunguka.
 
Back
Top Bottom