Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

Acha uzembe dogo. Mbona mi nikizama ziwani au kupiga mbizi huwa namaliza hata nusu saa Niko gezini
 
Watz wengi mawazo kinzani kwao ni uadui. Uko kinyume na yeye so wanataka kila kitu yes mkuu.
 
Kama hatuna makomando na kambi za kijeshi ENEO la mkoa wa kagera na ni mpakani bas we are not the state anymore!tena kagera mkoa wa mpakani wa uganda kabisa!!!

Fikiria upya!
 
Wale CHADEMA hawawezi kukuelewa mkuu-Tanzania kiusalama tuko sawa basi tu
 
Hakika nawaambia Yule mpuuzi aliyemzuia Majaliwa kupasua kioo kisa kasoma theory zake za floatation, Yule Rubani na Abiria wengine zaidi wangepona
Sidhani- maji yangewamaliza wengi; hili ni funzo kutoka MV.Bukoba- ilitobolewa kumtoa mhindi mmoja, wa pili , meli ikazama yote hadi leo
 
Mkuu uwe mkweli kwa nafsi yako- waokowaji walifika pale mapema sana
 
Mkuu CHADEMA na hawa wanaharakati hawawezi kukuelewa; hata ukiwambia leo ni Jumanne ya Novemba 8, ya mwaka 2022 watakataa.
 
WEWE PINGA TU MAANA NDIYO KIZAZI CHAKO
 
Abainike huyo aliyemkataza Majariwa asivunje kioo wakati rubani alishamruhusu Majariwa kuvunja kioo. Rest in peace wahanga wote wa ajari
 
Laiti angekuepo akaona the whole situation ya ajali angebadili mawazo yake haraka, na kulaumu why rescue team haikufika kwa wakat maybe wote wangeokolewa!!
 
Aina ya ajali

Accidents and incidents​

The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,resulting in 398 fatalities

This list is incomplete; you can help by adding missing items. (October 2022)

Accidents with fatalities[76]
DateFlightFat.Surv.LocationEvent
31 Oct 1994American Eagle 4184680USA, near Roselawn, INCrash due to icing
30 Jan 1995TransAsia Airways40Taiwan, near TaipeiCrash into a hillside, four crew killed.[77]
21 Dec 2002TransAsia 79120Taiwan, near Makung CityCrash due to icing, both crew died.[78]
6 Aug 2005Tuninter 11531623Italy, near PalermoDitch due to fuel exhaustion caused by inappropriate indicators.[79]
4 Aug 2009Bangkok Airways 266171Thailand, Koh Samui AirportSkid into a disused tower, killing the captain
4 Nov 2010Aero Caribbean 883680Cuba, near GuasimalIcing and bad crew decisions.[80][81]
2 Apr 2012UTair 1203310Russia, Tyumen AirportCrash soon after takeoff.[82] Incorrect deicing procedures.
16 Oct 2013Lao Airlines 301490Laos, near Pakse AirportCrash into the Mekong while on approach.[83]
23 Jul 2014TransAsia 2224810Taiwan near Magong AirportCrash while landing.[84]
4 Feb 2015TransAsia 2354315Taiwan, Keelung River near TaipeiEngine failure on takeoff, crash after still-functional engine shut down
18 Feb 2018Iran Aseman 3704660Iran, near Yasuj AirportCrash into Mount Dena.[85]
 
Kama hatuna makomando na kambi za kijeshi ENEO la mkoa wa kagera na ni mpakani bas we are not the state anymore!tena kagera mkoa wa mpakani wa uganda kabisa!!!

Fikiria upya!
Kikosi kipo hiyohiyo bukoba..pacha ake na kile cha kizuka.ila labda hawajapata taarifa.
 
Kama mkuu wa mkoa wa Kagera alifika eneo la tukio,na kuuthibitishia Umma kupitia vyombo vya habari.
Kwamba ameweza kuongea na walioko ndani ya ndege,hiyo yote ilikuwa ni ndani ya hizo dakika nne zako?

Akikujibu hili naomba uniite mkuu.

Nimekaa pale kwenye kahawa
 
Pembeni mwa uwanja kuna eneo kubwa la wazi panaitwa gymkhana pana urefu wa sio chini ya km 1.5 na upana wa mita 400 kwa ndege inaweza kutua
 
Kwahiyo tuiite hii ni ajali yenye ubora wa hali ya juu.
 
Bila UZEMBE kufanyika, hakuna abilia angekufa kwa nature ya ajali ilivyokuwa.
 
Wenyewe wanasema maji ni salama zaidi ndege kutua kuliko nchi kavu ikitokea dharula isiyohimilika, plain surface ilikuwepo mita mia pembeni ambayo ni uwanja wa ndege uliotengenezwa mahususi kwa ajili ya ndege kutua na kupaa..
Inavyoonekana huyu pilot alikuwa na wazo tofauti, kutua majini ilitokea kama ajali tu, au niseme bahati mbaya.

Kwasababu, PM amesema ndege ilipotua majini ilikuwa uelekeo wa tofauti na uwanja wa ndege ulipo, sasa tujiulize; huo uelekeo ulikuwa ndio wa hiyo plain surface unayoisema ilikuwa karibu? au uelekeo huo ulikuwa ni wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kwamba rubani alitaka kugeuza akatue Mwanza ila bahati mbaya hakufika?

Kama rubani angekuwa hajafariki naamini alikuwa na majibu mazuri zaidi ili kuondoa hii sintofahamu iliyopo, lakini kutua kwenye maji inawezekana kulikuja automatically kwa sababu eneo ndege ilipokuwa inazunguka maji yalikuwa yamechukua nafasi kubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…