Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

Black people wanadhani mzungu yuko karibu na Mungu. Katoa maoni kama wewe
 
"Mtaalamu" ushuzi. Takataka. Hii CNN imekuwa mavi kabisa. Mnafungwa akili na use.nge wa hawa takataka CNN. Bora Trump aliwaumbua kwa uwongo wa taarifa zao na taarifa za kutunga aka fake news. Kwanza anasema ndege ilikuwa inataka kupaa au "taking off", halafu sekunde chache baadaye anajisahihisha kuwa ndege ilikuwa inajaribu kutua. "Mtaalumu" hakumbuki kama ndege ilikuwa inataka kupaa au kutua, halafu baadaye anakuja na general statements za aina ya ndege na siyo taarifa kuhusu hali ya ndege yenyewe ya ajali.
 
Kwa aina ya ajali ilivyokuwa, ilikuwa inawezekana kabisa kuokolewa wote kama kitengo cha uokoaji kingekuwa kinafanya kazi inavyotakiwa ajali imetokea karibu kabisa na fukwe lakini kutokana na kitengo cha uokoaji kukosa weledi ndiyo imepelekea baadhi kufariki
 
Tanzania kuna "icy conditions" za ndege kupaa na kutua? Anajua ndege ya ajali imefanya takeoffs na landings ngapi tokea itengenezwe pamoja na repair history yake?
 
Wewe akili yako ni pumba kabisa. Unafikiri itatua kwenye uwanja plain kirahisi ipone, kumbuka ardhi siyo godoro la sponge.
 
Sidhani- maji yangewamaliza wengi; hili ni funzo kutoka MV.Bukoba- ilitobolewa kumtoa mhindi mmoja, wa pili , meli ikazama yote hadi leo
Huyo mhindi alifankiwa kutoka salama mkuu?
 
Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka

kABISA MKUU...HILI LILISHATOKEA HUKO DUNIANI TENA MARA NYINGI TU

Hapo ndio ingelipuka yote
 

Vagabond
 
CHADEMA wametoa press conference kuwa uwanja wa ndege wa Bukoba hauna taa ndiyo umeleta ajali wanataka Rais Samia amfute kazi mkuu wa zimamoto Dodoma kwa nini alichelewa site akawaachia wavuvi. Wanaiamuru Serikali ianzishe Mamlaka ya Dharura ikae bandari na airport zote chini ya JWTZ.
 
..serikali ipunguze manunuzi ya ma-V8 ya viongozi na badala yake wawekeze kwenye vifaa vya uokoaji.
Pia sipendelei V8 lakini hii nchi kila kitu tunasema pesa zitoke kwenye manunuzi ya V8, zitaweza kuhudumu kote!
 
Sio kwamba ndege ilipotua tu basi na maji yakawa yamejaa . Maji huingia taratibu kufuatisha upenyo utapatikana na ndege huzama taratibu kuendana na umbile lake unless mtu akitoboa eneo fulani ndege huweza kuzama ZAIDI ñdio maana wataalam walimkataza majaliwa kutoboa maana maji yangeingia kwa nguvu ya ajabu na ndege ingezama. Labda kama marubani walikua watu wa mwisho.

Kama serekali ingetekeleza wajibu wengi wangeokokewa . Nimeona mara MOJA kwenye taarifa rubani anaekekezwa peleka ndege baharini eneo la wavuvi kisha vyombo vya uokozi vinawahi eneo la tukio
 
Anasema ndege zile walikuwa wanazitumia zamani lakini wakazistukia.
Lakini anafurahi kuna baadhi ya watu wameokoka. Ndiyo mawazo yangu,mimi ni retired aircraft pilot. Ndege ikianguka ,akipona mtu yoyote ni muujiza.
Lakini it is unfortunate kwamba hii crash imetokea. They must find WHY it crashed, which,no doubt,they will. Kwa sababu The Wright Brothers invented aeroplanes a very long time ago. One would expect that by now the technology has improved.
 
NASEMA HIVI, AJALI IMETOKEA...

WALIOOKOLEWA WAMEPONA! TUNAWAOMBEA WALIOKUFA. KINACHOENDELEA SASA NI WASIFU WA MAREHEMU TU. “ILIKUWA, IKAWA...!!”
 
Ameongelea dk 4 kuzama kwenye maji kumbuka ile ndege haikuwa imezama yote. LIZAMA upande wa mbele na nyuma kubaki nje. Wale makusuku mnaolaum mnalaumu bila hata kujua kanuni za rescue. Kuna wakati unapaswa kufanya maumizi ambayo yataonekana mabaya kuliko kutokufanya kabisa. Wale waliopanda kwenye ndege toka Dar saa 12 saa 2 wakajikuta wanatolewa majini wakiwa wazima ili hali wenzao wanatolewa wakiwa wafu, hao ndo wanaotambua thamani ya Majaliwa kufungua mlango ambao tayari hata air hostess alishajaribu kuufungua lakini ukagoma kufunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…