Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #221
Nilitaka kufahamu dawa zingine za kumaliza tatizo la typhoid...
Samahani Dr.kuna swali nimeuliza post namba 122..asante.Mkuu dawa ya typhoid ni antibiotic. Ciprofloxacin au Ceftriaxone inatumika sana kwenye tatizo hili.
Asante.
Dr, Nimepita katika internet nikaona andiko hili. Nikahisi kama zinanihusu.
TB ya uti wa mgongo- Mgonjwa anapata ugonjwa unaoitwa pott disease, mifupa ya uti wa mgongo hulika na kupinda. Dalili zinaweza kuwa kama vile , maumivu makali nyuma ya mgongo, kukakamaa kwa uti wa mgongo, na kupata ganzi ama kupalalizi miguuni.
Nitumie Dawa gani ili nipone?
dr habariiii............nilifanya mapenzi after one week naona kichwa cha uume kinauma na ute mzito mweupe unatoka ....tafadhali itakua ni nn??? na dawa gan inapaswa nitumieHabari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Elimika Juu ya Afya: Bofya Hapa
dr habariiii............nilifanya mapenzi after one week naona kichwa cha uume kinauma na ute mzito mweupe unatoka ....tafadhali itakua ni nn??? na dawa gan inapaswa nitumie
hakuna dalili zaid ya kusikia maumivu na hasa wakati wa kukujoaJe kuna dalili lolote kingine?!
Dalili napata maumivu ya tumbo,kichwa,nakohoa lakini sitoi kohozi,kuharisha na muda mwingi napata choo kigumu na ivi karibuni kiuno na sehem ya mgongoni kunawaka moto na napata maumivu kifuani na tumbo kujaa gesi mkuuKaka gastroenterology ni sehemu ya mwili kama akili, moyo au macho. Lakini hujanieleza unatatizo gani ya sehemu hilo? Labda nieleze ulichoambiwa na dalili zako
daw yaje mkuu acha maji machafu ya Ilala pamoja na mnyamaaliyeharamishwa japo yeye sio haramu..!!Dawa ya kutoa kitambi both for men and women
naomba nijibu dr tafadhaliJe kuna dalili lolote kingine?!
Tatzo la mwanamke kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa bila maumivu kwa muda mpka wa siku nne tatzo ni nn? kwa muda wa miezi takriban sita sasa.Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Elimika Juu ya Afya: Bofya Hapa