Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dr, Nimepita katika internet nikaona andiko hili. Nikahisi kama zinanihusu.

TB ya uti wa mgongo- Mgonjwa anapata ugonjwa unaoitwa pott disease, mifupa ya uti wa mgongo hulika na kupinda. Dalili zinaweza kuwa kama vile , maumivu makali nyuma ya mgongo, kukakamaa kwa uti wa mgongo, na kupata ganzi ama kupalalizi miguuni.

Nitumie Dawa gani ili nipone?
 
Asante sana kwa ushauri na kujitolea taaluma yako kwa watu kama sisi,mimi tatizo lipo kwa mwanangu,juzi kafikisha miaka mitatu ila hajaweza kuongea hata mama,waliniambia nimcheki chini ya ulimi kwamba kuna kanyama ila hakuna baada ya kwenda hospital.
Hivi tatizo kama hilo linasababishwa na nini,na je na kama hana tatizo inaweza kuchukua mida gani aweze kuongea?
 
Natokwa na jasho kichwani bila kuumwa kichwa wala homa na linatoka kwa wingi sijui tatizo ni nini
 
Dr, Nimepita katika internet nikaona andiko hili. Nikahisi kama zinanihusu.

TB ya uti wa mgongo- Mgonjwa anapata ugonjwa unaoitwa pott disease, mifupa ya uti wa mgongo hulika na kupinda. Dalili zinaweza kuwa kama vile , maumivu makali nyuma ya mgongo, kukakamaa kwa uti wa mgongo, na kupata ganzi ama kupalalizi miguuni.

Nitumie Dawa gani ili nipone?

Mkuu, Dawa za TB wa aina yeyote siyo dawa ya Leo na kesho. Lazima ukuwe na uhakika kama unalo hilo tatizo kwa kufanya vipimo. La sivyo, utatengeneza sugu na kumeza dawa yasiotakikana. Tafadhali, nenda hospitali upimwe Kama unayo TB ya uti wa mgongo.

Asante.
 
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Elimika Juu ya Afya: Bofya Hapa
dr habariiii............nilifanya mapenzi after one week naona kichwa cha uume kinauma na ute mzito mweupe unatoka ....tafadhali itakua ni nn??? na dawa gan inapaswa nitumie
 
Kaka gastroenterology ni sehemu ya mwili kama akili, moyo au macho. Lakini hujanieleza unatatizo gani ya sehemu hilo? Labda nieleze ulichoambiwa na dalili zako
Dalili napata maumivu ya tumbo,kichwa,nakohoa lakini sitoi kohozi,kuharisha na muda mwingi napata choo kigumu na ivi karibuni kiuno na sehem ya mgongoni kunawaka moto na napata maumivu kifuani na tumbo kujaa gesi mkuu
 
Habari mkuu. Nasumbuliwa na kanyama kameota chini ya kitovu (warts). Nimetumia dawa mbalimbali za kupata na ku burn kama podophlyn bila mafanikio. Msaada wako tafadhali.
 
dawa ya mapunye kwa mtoto.....yamemtokea kichwani.
 
Mimi naomba kuuliza maswali mawili
1. Nini kinasababisha kupiga chafya ikatoka harufu mbaya kwenye hewa inayotoka?
2. Mwanangu akipata mshtuko,mfano kubwekewa na mbwa,baada ya muda mfupi anaanguka na kuzimia
nini kinaweza kuwa tatizo? ilipomtokea tulimpeleka hospitali wakashauri afanyeX-ray ya moyo
akafanyiwa walipoangalia wakasema hakuna shida,naomba nijue nini kinachosababisha?
asante kwa kuweka uzi huu.
 
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Elimika Juu ya Afya: Bofya Hapa
Tatzo la mwanamke kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa bila maumivu kwa muda mpka wa siku nne tatzo ni nn? kwa muda wa miezi takriban sita sasa.
 
Back
Top Bottom