Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Thanx mkuu,, sasa ikitokea hivyo je mimba hiyo itazaa mtoto au haitofanikiwa na kuharibika
 

Ni lazima kujuwa kwanini tatizo limetokea. na ya pili kila daktari anapenda dawa yake. Kwa mfano mimi nawapa wagonjwa wangu Cetirizine kuliko Claritine. Kwasababu inafanya kazi hiyo hiyo na ni bei nafuu.
 
Wanasema U.T.I ina stages na kila stage ina tiba yake.
Hebu tufafanulie tiba zake ktk kila stage especially for men wanasema inasumbua zaidi
 
Non,hapana yaani ni some times tu,nasikia kama nawashwa kwa ndani,halafu nikikaa sana let say ofisini kuanzia asubuhi mpaka lunch time,miguu inavimba
 
Itakuwa vizuri zaidi ukieleza kuhusu Type 1 diabetes na Type 2 in genetics and if there's any proof if Type1 diabetes is indeed genetic than type 2 .
 

Sasa sijui kama daktari wako anakuongopea au nini. Lakini kuna UTI aina nyingi na siku hizi baadhi ya vimelea vinayoleta UTI yamepata sugu na dawa ya kawaida, "Ciprofloxacin". Labda ndiyo maana unapata hii shida kila mara. Je unapata dalili gani mkuu?
 
Wanasema U.T.I ina stages na kila stage ina tiba yake.
Hebu tufafanulie tiba zake ktk kila stage especially for men wanasema inasumbua zaidi

Kwenye UTI kuna kundi mbili. UTI "complicated" na UTI "uncomplicated". Kwa ajili ya wanaume inakua complicated, yaani tunatizama kama vimelea wamefika kwenye figo pia.

Ni vizuri kwa madaktari wachukuwe sampuli ya mkojo ilikutizama vimelea wanasugu na dawa gani. Kama mtu anatatizo kwenye mirija yakukojoa, hilo ni tatizo lingine na matibabu yake nitofauti kabisa.

Matibabu ya kwanza ni dawa yakuua viemlea. Kuna dawa aina nyingi zinazotumika. Septrin na Ciprofloxacin huwa inatumika sana na ndiyo maana siku hizi vimelea vimejenga sugu juu ya dawa hizi. Kunywa maji na juisi ya cranberry huwa inasaidia kwa kiwango pia. Hii ni kwasababu maji inapunguza idadi ya vimelea. Kwa wale wagonjwa waliokuwa na tatizo hili kwa kila mara, antibiotic za sindano (Ampicillin pamoja na Gentamicin) inashauriwa.

Wagonjwa wengi siku hizi wakitumia Amoxiclav 500mg inawasaidia kwakutosha. lakini kuna antibiotic nyingi yanaoweza kutumika kwa wale waliokuwa na vimelea vyenye sugu.
 
Ndio mkuu na linanisumbua sana nilifanyiwa endoscopy muhimbili nimepewa dawa tatzo likapungua kwa muda now limerudi tena mkuu,ushauri wako mkuuw

Kaka gastroenterology ni sehemu ya mwili kama akili, moyo au macho. Lakini hujanieleza unatatizo gani ya sehemu hilo? Labda nieleze ulichoambiwa na dalili zako
 
Inafikia point unapima mpaka CS(culture & sensitivity ) na unapewa sindano lkn inagoma.
Hapa nadhani inakuwa hii ni complicated U.T.I, kama imefika kwenye figo hapo unatumia vipimo/ dawa gani
 
Inafikia point unapima mpaka CS(culture & sensitivity ) na unapewa sindano lkn inagoma.
Hapa nadhani inakuwa hii ni complicated U.T.I, kama imefika kwenye figo hapo unatumia vipimo/ dawa gani

Unatumia vipimo ya Culture na Sensitivity lakini kama hamna tatizo kwenye sehemu za siri, basi anapewa antibiotic za sindano ya dozi kubwa na kupewa IV fluids pia.
 
Reactions: 999

Ulipopima hospitalini hivi karibuni uliambiwa una malaria? Nini dalili zako?
 
Naomba unisaidie kwa mtoto asiyependa kula ,umri 1 na miez 3 , nichukue hatua gani na ipi lishe nzuri ya kumkuza

Je anatatizo au dalili lolote lingine?
Huwa kuna vitamin na madini zinasaidia.
Na maziwa ni nzuri sana huwa ina kila kitu ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…