JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
Pima magonjwa ya ngono. Na kwa sasa oga na sabuni ya Dettol . Uogaji wako uwe wa kupaka sababu na kuiacha kwa dk kama kumi hizi ndio unaosha sabuni itoke .Dr mm Nina tatizo sijui ni fagasi au VIP sehemu zangu za siri zinapata km magamba mangamba ambayo huaza kutoka utazani ungojwa wa ngonzi na huwa yanuma sana mda mqungine huacha vidoda kabisa na pembeni mwa mapaja huwasha na kutoa km unga unga mweupe?? Nn tatizo maana natumia maji ya chumvi kuonga ? Msada plz
Habari Dr pole na majukumu,Lakini naamini upo hapa kwa kutusaidia zaidi MUNGU akubariki..Dr tatizo langu ni kuwa na mbegu chache sana hivyo kutokupelekea kusababisha mimba kwani nimepima na Dr ameniambia Nina mbegu milioni 1 na ili usababishe
Mimba inafaa angalau ziwe mil4 sasa nataka kujua nifanye nini ili ziongezeke maana hata Kama nitapiga bao 3 bado ni kiasi kile kile,Au dawa gani itasaidia ahsante.
Mimi binafs nasumbuliwa na hilo tatizo na niliambiwa nina Acidity pia na H.Pylori ila nilipatiwa dawa ya H. Pylori kit amabay ilinisaidia kias jeVidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?
Mimi binafs nasumbuliwa na hilo tatizo na niliambiwa nina Acidity pia na H.Pylori ila nilipatiwa dawa ya H. Pylori kit amabay ilinisaidia kias je
Dawa gani naweza tumia kwa ajili ya Acid hyo maana tumbo linajaa gas na linaunguruma mara kwa mara
Nikinywa maji namwagika jasho ni kwa nn inakuwa hivyo?
Ngj tusubr mkuu
Dr mm Nina tatizo sijui ni fagasi au VIP sehemu zangu za siri zinapata km magamba mangamba ambayo huaza kutoka utazani ungojwa wa ngonzi na huwa yanuma sana mda mqungine huacha vidoda kabisa na pembeni mwa mapaja huwasha na kutoa km unga unga mweupe?? Nn tatizo maana natumia maji ya chumvi kuonga ? Msada plz
Nina tatizo la miguu kuwaka moto chini, miguu eneo la kukanyagia. Nimeenda hospital mwaka wa tatu kila kipo ninachopima hamna kitu. Mf. Kisukar, pressure nk. Vyote normal. Nifanyeje?
Dr.
1. fangasi wa kwenye mapaja pembeni mwa testes dawa yake nini. Ninawashwa sana.
2. Jambo jingine ni kuwa nikikimbia au kufanya jambo litakaloleta mitikisiko ama vibration ya nyama za mapaja huwa nawashwa sana kwenye mapaja yote. Hali hii hutulia baada ya kuacha kukimbia na kutulia kwa muda mfupi. Hali hii hunitokea nikipanda pikipiki ambayo ikipita barabara isiyokuwa ya lami. Kwa ufupi ni kuwa vigorous vibration yoyote kwenye nyamba za mapaja hunilwtea tatizo la kuwasha muwasho.
Kuna tatizo la kuwashwa baada ya kuoga pia tatizo la vipele vya mara kwa mara msaada tafadhari
Kumbe tupo weng
Mbona hajibu sas
Nasubiri jibu pia katika hili.
IPI ni dawa nzuri ya Genital Herpes? Aciclovir ikifeli ipi husaidia sana?
Najisikia
Tumbo kuwaka moto
Kiu hasa usiku
Choo kigumu
Mdomo kuwa mchungu
Tumbo kuuma
Kujisikia kutapika/kuharisha
Kujamba kwa sauti
Inaweza kuwa ni nini daktari