Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dr mm Nina tatizo sijui ni fagasi au VIP sehemu zangu za siri zinapata km magamba mangamba ambayo huaza kutoka utazani ungojwa wa ngonzi na huwa yanuma sana mda mqungine huacha vidoda kabisa na pembeni mwa mapaja huwasha na kutoa km unga unga mweupe?? Nn tatizo maana natumia maji ya chumvi kuonga ? Msada plz
Pima magonjwa ya ngono. Na kwa sasa oga na sabuni ya Dettol . Uogaji wako uwe wa kupaka sababu na kuiacha kwa dk kama kumi hizi ndio unaosha sabuni itoke .
 
Nina tatizo la miguu kuwaka moto chini, miguu eneo la kukanyagia. Nimeenda hospital mwaka wa tatu kila kipo ninachopima hamna kitu. Mf. Kisukar, pressure nk. Vyote normal. Nifanyeje?
 
Habari Dr pole na majukumu,Lakini naamini upo hapa kwa kutusaidia zaidi MUNGU akubariki..Dr tatizo langu ni kuwa na mbegu chache sana hivyo kutokupelekea kusababisha mimba kwani nimepima na Dr ameniambia Nina mbegu milioni 1 na ili usababishe
Mimba inafaa angalau ziwe mil4 sasa nataka kujua nifanye nini ili ziongezeke maana hata Kama nitapiga bao 3 bado ni kiasi kile kile,Au dawa gani itasaidia ahsante.

Nasubiri jibu Dr.
 
Vidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.

Je uliambiwa nini na daktari?
Mimi binafs nasumbuliwa na hilo tatizo na niliambiwa nina Acidity pia na H.Pylori ila nilipatiwa dawa ya H. Pylori kit amabay ilinisaidia kias je
Dawa gani naweza tumia kwa ajili ya Acid hyo maana tumbo linajaa gas na linaunguruma mara kwa mara
 
shukran.naitaji kujua au kufahamishwa katika haya mataatizo.1mtoto wangu amekuwa akikuwa akiwa na uzito mkubwa, kipindi akiwa na mwaka mmoja alikuwa na kilo 15, sasa hivi anakilo kumi na 7 na ana umri wa mwaka 1 na miezi 5. vyakula anvyokula ni ugali kwa maharage,mboga za majani.viazi na uji wa sembe.udogoni alikuwa akipendelea kunyonya kwa mda mrefu. 2 mimi mwenyee nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na vidonda mdomon mara kwa mara,nimepima na kupatiwa matibabu mda mrefu lakini bado vinatokea interval kama ya mwez hadi mwez/,.3 na tatizo la kujisikia uchovu na kichwa kupanda moto na kunipelekea kupenda kulala ucngizi usio isha,jambo ambalo linanipa tabu katika masomo yangu. WAKUU WENYE UTAALANU TAFADHALI NAOMBA USHAULI KITIBA
 
Ni sababu gani zinapelekea MTU anakua na uume mdogo na ni nini Tiba zake kuudeveloper zaidi
 
Mimi binafs nasumbuliwa na hilo tatizo na niliambiwa nina Acidity pia na H.Pylori ila nilipatiwa dawa ya H. Pylori kit amabay ilinisaidia kias je
Dawa gani naweza tumia kwa ajili ya Acid hyo maana tumbo linajaa gas na linaunguruma mara kwa mara

Ushauri wangu:

1. Rabeprazole 20mg, Kunywa kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja.
2. Punguza kula pilipili na vyakula vyenye pilipili au viungo vingi (spices).
 
Nikinywa maji namwagika jasho ni kwa nn inakuwa hivyo?

Ukinywa maji, mwili yako inatumia hiyo maji kujipooza kwa kutokwa jasho. Lazima urudishe ile maji kwa kuendelea kunywa maji au utapata dalili za upungufu wa maji ndani ya mwili kama kuchokachoka, kuona kizunguzungu na mengineo. Hali ya hewa sasa hivi ni joto sana na kutokwa jasho ni kitu cha kawaida.
 
Dr mm Nina tatizo sijui ni fagasi au VIP sehemu zangu za siri zinapata km magamba mangamba ambayo huaza kutoka utazani ungojwa wa ngonzi na huwa yanuma sana mda mqungine huacha vidoda kabisa na pembeni mwa mapaja huwasha na kutoa km unga unga mweupe?? Nn tatizo maana natumia maji ya chumvi kuonga ? Msada plz

Inaonekana una tatizo ya fangasi:

Tumia dawa hii:

Terbinafine tablet - Kunywa kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa siku 28.
Terbinafine cream - pakaa kutwa mara mbili kwa siku 28.

Hakikisha baada ya kumaliza haja ndogo unakausha eneo ya siri vizuri na usivae nguo za kuabana.
 
Nina tatizo la miguu kuwaka moto chini, miguu eneo la kukanyagia. Nimeenda hospital mwaka wa tatu kila kipo ninachopima hamna kitu. Mf. Kisukar, pressure nk. Vyote normal. Nifanyeje?

Una tatizo ya Peripheral Neuropathy. Hutokea kwa watu wengi. Tumia dawa hii:

Neuroton, kunywa kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja alafu nipe mrejesho.
 
Dr.
1. fangasi wa kwenye mapaja pembeni mwa testes dawa yake nini. Ninawashwa sana.

2. Jambo jingine ni kuwa nikikimbia au kufanya jambo litakaloleta mitikisiko ama vibration ya nyama za mapaja huwa nawashwa sana kwenye mapaja yote. Hali hii hutulia baada ya kuacha kukimbia na kutulia kwa muda mfupi. Hali hii hunitokea nikipanda pikipiki ambayo ikipita barabara isiyokuwa ya lami. Kwa ufupi ni kuwa vigorous vibration yoyote kwenye nyamba za mapaja hunilwtea tatizo la kuwasha muwasho.

Una tatizo la fangasi na hiyo inafanya pia ikipata vibration ianze kuwasha. Ushauri wangu ni yafuatayo:

1. Hakikisha huvai nguo zinazobana
2. Hakikisha unabadilisha nguo za ndani
3. Kausha eneo la siri na mapaja baada kumaliza haja ndogo au kubwa.
4. Tumia dawa hizi:
- Terbinafine tablet, kunywa kidonge kimoja kila siku kwa muda wa siku 28.
- Terbinafine cream na Hydrocortisone cream changanya hizi dawa mbili alafu, pakaa asubuhi na usiku kwa muda wa siku 28.
 
Kuna tatizo la kuwashwa baada ya kuoga pia tatizo la vipele vya mara kwa mara msaada tafadhari

1. Jaribu kubadilisha sabuni unayotumia.
2. Vipele kama ni kwenye mwili unaweza kutumia benzoyl peroxide cream. pakaa kila siku usiku kwa muda wa mizei moja.
 
Najisikia

Tumbo kuwaka moto
Kiu hasa usiku
Choo kigumu
Mdomo kuwa mchungu
Tumbo kuuma
Kujisikia kutapika/kuharisha
Kujamba kwa sauti

Inaweza kuwa ni nini daktari

Mkuu unatatizo ya acidity. Ushauri wangu ni yafuatayo:

1. Hakikisha una kula matunda kila siku japo kidogo.
2. Zingatia kula mboga kama mchicha, bamia na njegere.
3. Punguza vyakula vyenye viungo (spices) na pilipili nyingi.
4. Kunywa kidonge kimoja ya dawa hii kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja: Rabeprazole 20mg
5. Kunywa maji ya kutosha (utajuwa kwa kutizama rangi ya mkojo, kama ni njano iliyokoza basi inabidi ukunywe maji zaidi kama haina rangi au ni njano iliyofifia basi umekunywa maji yakutosha)
 
Back
Top Bottom