shukran.naitaji kujua au kufahamishwa katika haya mataatizo.1mtoto wangu amekuwa akikuwa akiwa na uzito mkubwa, kipindi akiwa na mwaka mmoja alikuwa na kilo 15, sasa hivi anakilo kumi na 7 na ana umri wa mwaka 1 na miezi 5. vyakula anvyokula ni ugali kwa maharage,mboga za majani.viazi na uji wa sembe.udogoni alikuwa akipendelea kunyonya kwa mda mrefu. 2 mimi mwenyee nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na vidonda mdomon mara kwa mara,nimepima na kupatiwa matibabu mda mrefu lakini bado vinatokea interval kama ya mwez hadi mwez/,.3 na tatizo la kujisikia uchovu na kichwa kupanda moto na kunipelekea kupenda kulala ucngizi usio isha,jambo ambalo linanipa tabu katika masomo yangu. WAKUU WENYE UTAALANU TAFADHALI NAOMBA USHAULI KITIBA