Kama inakuwa imefika kwenye figo ni kipimo gani unapima ili kugundua sasa UTI imefika kwenye figo?Unatumia vipimo ya Culture na Sensitivity lakini kama hamna tatizo kwenye sehemu za siri, basi anapewa antibiotic za sindano ya dozi kubwa na kupewa IV fluids pia.
Kama inakuwa imefika kwenye figo ni kipimo gani unapima ili kugundua sasa UTI imefika kwenye figo?
Kuna vipele vipo kama chunusi vimetokeza mgongoni na vinaniwasha, naweza kutumia dawa gani?
Asante sana Doctor, hili tatizo limekuwa sugu sana enzi hizi kiasi kwamba imekuwa kama ni ugonjwa mpya sasa inafikia mahali watu hawapati mtu sahihi wa kutoa tiba sahihi kiasi kwamba inakuwa ni tatizo.Kama imefika kwenye figo inaitwa "Pyelonephritis." Vipimo ni ultrasound ya figo, culture ya mkojo na damu. Huwa wanatizama idadi ya white blood cell na vimelea. Wanapima pia kuona kwanini mtu kapata UTI mpaka imefika kwenye figo, kama mtu anayo kidney stones? Na matibabu ni antibiotics pia.
Asante sana Doctor, hili tatizo limekuwa sugu sana enzi hizi kiasi kwamba imekuwa kama ni ugonjwa mpya sasa inafikia mahali watu hawapati mtu sahihi wa kutoa tiba sahihi kiasi kwamba inakuwa ni tatizo.
Nitarudi tena kwako baadae
Na nini dawa ya ya kuondooa mabakabaka kwenye ngozi?
AsanteUnaweza kutumia Sonaderm, ukaipakaa kutwa mara mbili kwa wiki.
Kwahiyo zote zinakuwa pamoja?Ni hiyo hiyo. Sonaderm ina dawa tatu, moja kuua viemlea, nyingine kuua fangasi na ya tatu kupunguza allergy ya ngozi.
Hawa bacteria doctor wanasababishwa na nn zaidi na wakikaa zaidi tumboni bila tiba madhara yake ni yap doctorLakwanza mkuu, Bakteria wa H.Pylori wanakuwa tumboni na siyo kwenye damu. Unaweza kupima damu kujua kwamba wapo tumboni lakini hawakui ndani ya damu. Mbali na test hiyo, je unadalili yeyote?
hapanaJe unachukuwa dawa yeyote?
Kichefu chefu,maumivu ya tumbo,kukoa bila kutoa koozi,kukosa appetite mkuuKaka gastroenterology ni sehemu ya mwili kama akili, moyo au macho. Lakini hujanieleza unatatizo gani ya sehemu hilo? Labda nieleze ulichoambiwa na dalili zako
Maumivu yakiuno ni wakati woteMaumivu wakati wakukojoa, kama ulivyoambiwa hospitalini unayo UTI. Dawa zake hizi hapa:
1. Amoxiclav 500mg kutwa mara mbili kwa wiki moja. (inaondoa vimelea)
2. Cital liquid kunywa kutwa mara mbili kwa wiki moja. (inapunguza maumivu kwenye mkojo)
3. Kunywa maji kwa wingi (inapunguza idadi ya vimelea.
Maumivu ya kichwa na flu. Je unayo homa pia? na ukoo inauma pia?
Maumivu makali ya kiuno inatokea saa ngapi?
Ndiyo, ni juzi tu tarehe 2/7 nikapewa artequine. Leo namalizia dozi. DALILI: Mwili kuchoka, miguu (kwenye nyayo) na kifua kuwaka moto.Ulipopima hospitalini hivi karibuni uliambiwa una malaria? Nini dalili zako?