Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #101
Maumivu yakiuno ni wakati wote
na fluu na kichwa vinaambatana na homa na hivi vyote hutokea baada ya maumivu ya kiuno kuanza kuuma
Mkuu naomba msaada ninatazo kidogo kila ninapopiga chafya au miayo napata maumivu kwenye koo msaada tafadhali
Asante mkuu
Dr. Naomba kujibiwa tatizo langu nijue nifanye nini, asante.
Kuna mtu humu aitwaye Deception anatuambia HIV hasabishi UKIMWI. Na pia HIV haambukizwi kwa ngono. Naomba utueleweshe ukweli unaujua wewe
Nina maumivu ya Mgongo kwa karibu miaka 4 sasa, Nimekunywa mno dawa za maumivu na sipati nafuu. Katikati ya mgongo huwa panauma sana na kuchemka, mabega hukakamaa na mwili huwa dhaifu.
Tatizo hili lipo sana pale ninapokaa kwa muda mrefu. Nikitembea maumivu huwa huwa sisikii na pia naweza hata kufanya mazoezi mazito kama kucheza basket ball, shida ninapo kaa ndio huwa maumivu makali.
Kuna dawa gani nitumie nipone????
Dr. TB kwa uelewa wangu mdogo wanasema huwa inakuwa na dalili za kukohoa kikohozi kikavu kwa muda mrefu (wiki 2), Mimi sina kikohozi cha namna hii. na sikohoi kabisa. labda kuna zaidi ya hilo katika TB??La kwanza ni vizuri upime Calcium, Vitamin D pamoja na TB.
Dawa yakupunguza maumivu kama hayo ni Flammar-MX unaweza kuchukuwa kidonge kimoja asubuhi na moja usiku kwa wiki moja kwanza. Halafu, kuna tube yakupakaa; Ketoprofen Gel. Itakusaidia kuondoa maumivu.
Lakini hata sikio langu haliumi...King'asti -> La kwanza sifikiri tatizo hilo la kelele ndiyo nafasi yake hapa.
(Tafadhali, Waache madaktari wafanye kazi yao)
Ntaluke.N. -> Inaweza kuwa infection au tatizo la parasites. Inabidi umuone ENT.
Nawasilisha
Thanx dokta kwa ufafanuzi wako,, ni stage ipi ya mimba huwa inatokea hivyo!!!Ndiyo mimba hiyo inaweza kuzaa mtoto. Lakini ni muhimu kumuona gynecologist.
King'asti -> La kwanza sifikiri tatizo hilo la kelele ndiyo nafasi yake hapa.
(Tafadhali, Waache madaktari wafanye kazi yao)
Ntaluke.N. -> Inaweza kuwa infection au tatizo la parasites. Inabidi umuone ENT.
Nawasilisha
Anachosema inaenda sawa na jina lake. Ni mwongo.
HIV inaambukizwa kwa ngono na mtu yeyote asikudanganye.
Kwa yule aliokuwa anayo HIV, Hizi virusi zinapatikana kwenye; Damu (ikiwa ni pamoja damu ya hedhi), Semen, Secretions ya Uke na Maziwa ya matiti. Hivyo basi, mtu aliyokuwa anayo HIV atamwambukiza mwenzie kwenye ngono kwa urahisi tu.
Mtu anaweza kuwa na virusi vya HIV lakini asikuwe na Ukimwi. Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya HIV. Lakini huwa mtu anaweza akapata virusi vya HIV ikakaa bila dalili alafu baada ya miaka kadhaa inaanza kuonesha dalili ya Ukimwi, Hiyo inatokea mara chache.
Asante.
[emoji23]
Lakini hata sikio langu haliumi...