Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Hiyo tatizo inaweza kuwa kubwa zaidi. Tafadhali kamuone Gynecologist, itabidi afanyiwe ultrasound.
 
Kuna mtu humu aitwaye Deception anatuambia HIV hasabishi UKIMWI. Na pia HIV haambukizwi kwa ngono. Naomba utueleweshe ukweli unaujua wewe

Anachosema inaenda sawa na jina lake. Ni mwongo.
HIV inaambukizwa kwa ngono na mtu yeyote asikudanganye.
Kwa yule aliokuwa anayo HIV, Hizi virusi zinapatikana kwenye; Damu (ikiwa ni pamoja damu ya hedhi), Semen, Secretions ya Uke na Maziwa ya matiti. Hivyo basi, mtu aliyokuwa anayo HIV atamwambukiza mwenzie kwenye ngono kwa urahisi tu.

Mtu anaweza kuwa na virusi vya HIV lakini asikuwe na Ukimwi. Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya HIV. Lakini huwa mtu anaweza akapata virusi vya HIV ikakaa bila dalili alafu baada ya miaka kadhaa inaanza kuonesha dalili ya Ukimwi, Hiyo inatokea mara chache.

Asante.
 
Nina maumivu ya Mgongo kwa karibu miaka 4 sasa, Nimekunywa mno dawa za maumivu na sipati nafuu. Katikati ya mgongo huwa panauma sana na kuchemka, mabega hukakamaa na mwili huwa dhaifu.

Tatizo hili lipo sana pale ninapokaa kwa muda mrefu. Nikitembea maumivu huwa huwa sisikii na pia naweza hata kufanya mazoezi mazito kama kucheza basket ball, shida ninapo kaa ndio huwa maumivu makali.

Kuna dawa gani nitumie nipone????

La kwanza ni vizuri upime Calcium, Vitamin D pamoja na TB.

Dawa yakupunguza maumivu kama hayo ni Flammar-MX unaweza kuchukuwa kidonge kimoja asubuhi na moja usiku kwa wiki moja kwanza. Halafu, kuna tube yakupakaa; Ketoprofen Gel. Itakusaidia kuondoa maumivu.
 
Asalam Aleykum. Ndugu Doctor. Kheri ya Eid iwe pamoja nawe.

Mimi naomba kuuliza juu ya tatizo la chango au Ngiri kwa lugha ya kitanzania.

Je! Tatizo hili nini chanzo, na Madhara yake na Mwisho Tiba yake tutumie dawa gani?

Asala Aleykhum.
 
La kwanza ni vizuri upime Calcium, Vitamin D pamoja na TB.

Dawa yakupunguza maumivu kama hayo ni Flammar-MX unaweza kuchukuwa kidonge kimoja asubuhi na moja usiku kwa wiki moja kwanza. Halafu, kuna tube yakupakaa; Ketoprofen Gel. Itakusaidia kuondoa maumivu.
Dr. TB kwa uelewa wangu mdogo wanasema huwa inakuwa na dalili za kukohoa kikohozi kikavu kwa muda mrefu (wiki 2), Mimi sina kikohozi cha namna hii. na sikohoi kabisa. labda kuna zaidi ya hilo katika TB??
 
Kuna rafiki yangu alipewa vidonge vya ARV kwa ajili ya Hepatitis akakataaa,vp Kuna uhusiano gani?
 
Sina hakika Kama nimekuelewa. Lakini kwa vile umemuambia aende kuonwa kwa daktari sina neno.

Actually nilichofikiria cha kwanza ni kuwa Ana noise induced hearing loss dalili za mwanzo. Ila hospitali watamsaidia zaidi.
King'asti -> La kwanza sifikiri tatizo hilo la kelele ndiyo nafasi yake hapa.
(Tafadhali, Waache madaktari wafanye kazi yao)

Ntaluke.N. -> Inaweza kuwa infection au tatizo la parasites. Inabidi umuone ENT.

Nawasilisha
 
Hivi, ni kwa nini exclusive breast feeding kwa mama mwenye HIV haimuambukizi mtoto HIV kwa njia ya kunyonyesha?
Anachosema inaenda sawa na jina lake. Ni mwongo.
HIV inaambukizwa kwa ngono na mtu yeyote asikudanganye.
Kwa yule aliokuwa anayo HIV, Hizi virusi zinapatikana kwenye; Damu (ikiwa ni pamoja damu ya hedhi), Semen, Secretions ya Uke na Maziwa ya matiti. Hivyo basi, mtu aliyokuwa anayo HIV atamwambukiza mwenzie kwenye ngono kwa urahisi tu.

Mtu anaweza kuwa na virusi vya HIV lakini asikuwe na Ukimwi. Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya HIV. Lakini huwa mtu anaweza akapata virusi vya HIV ikakaa bila dalili alafu baada ya miaka kadhaa inaanza kuonesha dalili ya Ukimwi, Hiyo inatokea mara chache.

Asante.
 
Dr.Pia nimekuwa na tatizo la kupata maumivu ndani ya uume wakati shahawa zinapotoka nikiwa nafanya tendo la ndoa pia naskia maumiv wakati wakukojoa hasa mkojo wa mwisho na kiuno kwa ndani nahisi maumivu..nimejaribu kwenda hospitali wakanipima mkojo na damu wakasema sina tatizo lolote,
 
Back
Top Bottom