Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #161
Dr. Natoka kiasi kikubwa cha ute mweupe kama karatasi ukeni, hautoe harufu, nawashwa kiasi kidogo na sisikii maumivu. Nimepima UTI na fungus nimeambiwa sina mambukizi hayo. Ute huo huongezeka zaidi nikikaribia siku zangu. Ni ute mwingi mpaka nguo ya ndani inalowa sana. Huu ni mwaka wa tatu sasa kila nikipima wanasema hawaoni fungus.
asante dk japo n
imeshawahi ijaribu tumia nahaikunipa matokeo yoyote ila naanza tena ili nikupe mrejesho.
Dr pita pm nimekuletea shida yangu na picha japo moja imekuja kimakosa
Dr. Uso wangu una mafuta mengi sana mpaka natamani niyauze..
Nimejaribu kutumia cosmetics mbali mbali za kufanya skin kuwa dry lakini hazijasaidia..
Unanisaidiaje niweze kuondokana na hali hii?
Maanake nikiwa juani usoo una ng'aa kweli kama sentimila ya ISUZU na mimi sipendi mng'ao huo.
Dr. TB kwa uelewa wangu mdogo wanasema huwa inakuwa na dalili za kukohoa kikohozi kikavu kwa muda mrefu (wiki 2), Mimi sina kikohozi cha namna hii. na sikohoi kabisa. labda kuna zaidi ya hilo katika TB??
Dr, SF
Good day... naomba ujijuze jee naweza kusafisha my Gallbladder.. bila kuwa na dalili zozote ?!!? just for the sake of cleaning!!
Dr. SF,
Samahani Dr. niulizia kuwa kuna njia ya kusafisha au kuondoa ukoko,ukoko ndani ya Urinary bladder !! au haina haja... japo kuwa hakuna sumptoms zozote!!
Thanks a lot! sasa nimekuelewa. Hii video naitazama kupitia wapi??? TV ama hapa hapa?Kuna TB aina nyingi. Unachosema wewe ni Kifua Kikuu TB ya mapafu lakini nachosema mimi ni TB ya mgongo. Pia wiki ijayo unaweza kuelimika juu ya TB kwa kutazama video hii: Afya Yako with Dr. Sajjad Fazel
Ahsante sana...Hakuna haja mkuu. Kuwa na amani. Kunywa maji yakutosha tu, kati ya lita 3 mpaka 4 kila siku.
Thanks a lot! sasa nimekuelewa. Hii video naitazama kupitia wapi??? TV ama hapa hapa?
Naweza kupata apointment ya kukuona kwa uchunguzi zaidi kama uko tanzania???
Asante...Tumia Dawa hii yakupakaa; Retin A Cream. Alafu niambie unaendeleaje.
Asante
Habari mkuu.
Tumbo linakata sana hasa nikishamaliza kula na kunywa kimiminika chochote, maumivu yanakua makali sàna kushoto na kulia karibu na kiuna,
Pia naomba unijuze dawa ya tumbo kujaa gesi.
Asante.
Asante...
Lakini hiyo Retin A ni lotion kama zilivyo lotion zingine i.e Nivea,Cocoa au ina tofauti?
maanake kma ni lotion nilishaga zitumia sana lakin hakuna impact