theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
- Thread starter
-
- #161
Mkuu kwa ndui ni chanjo tu ambayo hupelekea kuku kuwa na kinga ya maisha....Hivi ndui ikiwapata kuku nini kinaweza kufanyika kuwasaidia?
nimeku PM namba yangu mkuu.... kesho naomba unitafuteMkuu mimi niko Dar, ninampango wa kuanzisha mradi wa kati wa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. naweza kupata mawasiliano yako tafadhari.
Mkuu pole kwa tatizo lako la kuku kuwa na utitiri hapo cha kufanya nunua dawa aina ya carbamate insecticide ambayo dukani hupatikana kwa jina la Sevin® iko kwa form ya ungaunga wanyunyuzie mara mbili kila baada ya week 2 na tatizo lako litakuwa limekwisha mkuu.Kuku wangu wamekumbwa na utitiri nimesafisha banda na kumwagia dawa ya unga.Kwenye banda utitiri umeisha ila tatizo limebaki kwa kuku hawajatoka.Nini tiba yake mtaalam?
Shukran mkuu.Vipi na tatizo la kudumaa kwa vifaranga hali hiyo husababishwa na nini?Mkuu pole kwa tatizo lako la kuku kuwa na utitiri hapo cha kufanya nunua dawa aina ya carbamate insecticide ambayo dukani hupatikana kwa jina la Sevin[emoji768] iko kwa form ya ungaunga wanyunyuzie mara mbili kila baada ya week 2 na tatizo lako litakuwa limekwisha mkuu.
kudumaa katika ukuaji? au kudumaa kupi?Shukran mkuu.Vipi na tatizo la kudumaa kwa vifaranga hali hiyo husababishwa na nini?
Ubarikiwe sana mkuu.kudumaa katika ukuaji? au kudumaa kupi?
Kama ni katika ukuaji jaribu kuangalia management nzima ya kuku wako hapo nyumbani na pia jaribu kubadili chakula cha kuku mkuu...
ukizingatia hayo na imani vifaranga wako watakuwa vizuri tu bila kuwa na tatizo...
Karibu sana mkuu...Ubarikiwe sana mkuu.
System ya ufugaji ni semi-intensive, kwa maana wakati mwingine huwaachia huru kuzurura na kuwarudisha bandani. Kuhusu dalili zingine sijaona ila mara nyingi huanza kutokwa vidonda mdomoni hadi wakati mwingine kwenye macho na husababisha wasione.labda ungeniambia unatumia system gani ya ufugaji mkuu.... either free range system or intensive system na ukiacha hiyo dalili ya vifaranga kutoka vidonda mdomoni ni dalili nyingine ipi wanaonesha tena mkuu? tuanzie kwanza hapo
System ya ufugaji ni semi-intensive, kwa maana wakati mwingine huwaachia huru kuzurura na kuwarudisha bandani. Kuhusu dalili zingine sijaona ila mara nyingi huanza kutokwa vidonda mdomoni hadi wakati mwingine kwenye macho na husababisha wasione. Vidonda hupelekea vifaranga wasiweze kula chakula hata kunywa maji.
Yes, kama hivyo mkuu. Yaan vinasumbua sana mifugo yangu.
System ya ufugaji ni semi-intensive, kwa maana wakati mwingine huwaachia huru kuzurura na kuwarudisha bandani. Kuhusu dalili zingine sijaona ila mara nyingi huanza kutokwa vidonda mdomoni hadi wakati mwingine kwenye macho na husababisha wasione. Vidonda hupelekea vifaranga wasiweze kula chakula hata kunywa maji.
Mkuu kama ni hivyo bhasi vifaranga wako watakuwa wanasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa Mycotoxicoses ambao husababishwa na vifaranga kula vyakula vyenye sumu aina ya Fusarium T-2 toxin ambayo hupendelea sana mazao kama mahindi karanga mchele na ngano ambayo hupelekea vifaranga wako kupata ugonjwa huo..... thou for more confirmation ilinipasa kufanya Post morteum ili kuridhika kama ugonjwa ndio wenyewe....Yes, kama hivyo mkuu. Yaan vinasumbua sana mifugo yangu.
Mkuu asante,nami nimepata madini hapo.kumbe kununua pumba ukazitunza wakatumia zaidi ya mwezi nayo ni hatariMkuu kama ni hivyo bhasi vifaranga wako watakuwa wanasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa Mycotoxicoses ambao husababishwa na vifaranga kula vyakula vyenye sumu aina ya Fusarium T-2 toxin ambayo hupendelea sana mazao kama mahindi karanga mchele na ngano ambayo hupelekea vifaranga wako kupata ugonjwa huo..... thou for more confirmation ilinipasa kufanya Post morteum ili kuridhika kama ugonjwa ndio wenyewe....
Hivyo basi kama huo ndio ugonjwa nakushauri ufanye yafuatayo;
Hakikisha chakula cha kuku unakihifadhi katika sehemu iliyo kavu na kitumike katika muda muafaka.....
- Epuka kuhifadhi chakula cha vifaranga katika eneo lenye unyevuenyevu kuepuka hao kuota kwenye chakula na hakikisha pia hicho chakula ulichokihifadhi kinatumika not more than 3 weeks kiwe kimekwisha
- Hakikisha vifaranga wako unaweka katika banda ambalo linahewa ya kutosha ili kuzuia conducive environment for growth of mould kwa banda lako.
- Na mwisho hakikisha unawapa vifaranga wako multivitamin na madini aina ya selenium ya kutosha yakatika katika chakula chao...
ndio mkuu hasahasa zikiwa na unyevu unyevu..... na pia kama unazitunza kwa muda mrefu hakikisha unazipulizia antifungal kuzuia uotaji wa mould ambao unaweza sababisha matatizo kwa vifaranga au kuku wako....Mkuu asante,nami nimepata madini hapo.kumbe kununua pumba ukazitunza wakatumia zaidi ya mwezi nayo ni hatari
Asante sana mkuu. Kingine, je hii multivitamin inatumikaje? I mean inachanganywa kwenye chakula au kwenye maji. Je, kuna chanjo zipi zinahitajika kwa hawa kuku wa kienyeji.Mkuu kama ni hivyo bhasi vifaranga wako watakuwa wanasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa Mycotoxicoses ambao husababishwa na vifaranga kula vyakula vyenye sumu aina ya Fusarium T-2 toxin ambayo hupendelea sana mazao kama mahindi karanga mchele na ngano ambayo hupelekea vifaranga wako kupata ugonjwa huo..... thou for more confirmation ilinipasa kufanya Post morteum ili kuridhika kama ugonjwa ndio wenyewe....
Hivyo basi kama huo ndio ugonjwa nakushauri ufanye yafuatayo;
Hakikisha chakula cha kuku unakihifadhi katika sehemu iliyo kavu na kitumike katika muda muafaka.....
- Epuka kuhifadhi chakula cha vifaranga katika eneo lenye unyevuenyevu kuepuka hao kuota kwenye chakula na hakikisha pia hicho chakula ulichokihifadhi kinatumika not more than 3 weeks kiwe kimekwisha
- Hakikisha vifaranga wako unaweka katika banda ambalo linahewa ya kutosha ili kuzuia conducive environment for growth of mould kwa banda lako.
- Na mwisho hakikisha unawapa vifaranga wako multivitamin na madini aina ya selenium ya kutosha yakatika katika chakula chao...
Kwenye maji mkuu..... and about vaccination schedule kasome post [HASHTAG]#123[/HASHTAG] Nimeelezea pale vizuri tuAsante sana mkuu. Kingine, je hii multivitamin inatumikaje? I mean inachanganywa kwenye chakula au kwenye maji. Je, kuna chanjo zipi zinahitajika kwa hawa kuku wa kienyeji.
Chanjo ya kuchoma ndio iko njema zaidi mkuu kwa kutumia technique ya wing web stab per cutaneous ....Msaada Dr kuku Wang wamefikia chanjo ya ndui nimenda duka la dawa za mifugo anasema anayo ya kuwachoma lingine anasema ya kuchanganya sasa naomba unisaidie ipi ni bora mana sijaelewa
mkuu nina kuku wangu wa kienyeji lakini hawatagi mayai yenye kiini cha njano.....nawapa chakula cha lea, je ni nini sababu?Habari Wakuu....
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua....
Na pia kwa wale wakazi wa Dar es salaam na viunga vyake wanaohitaji huduma za ki veterinarian natoa huduma za chanjo na kutibu kwa wanyama wote wa nyumbani kama vile ;
Pia nafanya surgical operation kwa pets (mbwa na paka) kama vile castration and ovariohysterectomy (kufunga vizazi kwa madume na majike) and many other surgical operation kwa mifugo ya nyumbani tu.....
- Pets (Dog and cat)
- Cattle (Ng'ombe)
- Shoats (Mbuzi na Kondoo)
- Fresh water fish (samaki)
- Poultry (Kuku)
- Rabbit (Sungura)
Mi siyo mtaalamu ila kwa uzoefu wangu kidogo ni kuwa kama kuku hawapati majani au mboga mboga vitu kama hivyo hutokeamkuu nina kuku wangu wa kienyeji lakini hawatagi mayai yenye kiini cha njano.....nawapa chakula cha lea, je ni nini sababu?