Habari Wakuu....
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua....
Na pia kwa wale
wakazi wa Dar es salaam na
viunga vyake wanaohitaji huduma za ki veterinarian natoa huduma za
chanjo na
kutibu kwa wanyama wote wa nyumbani kama vile ;
- Pets (Dog and cat)
- Cattle (Ng'ombe)
- Shoats (Mbuzi na Kondoo)
- Fresh water fish (samaki)
- Poultry (Kuku)
- Rabbit (Sungura)
Pia nafanya surgical operation kwa
pets (mbwa na paka) kama vile
castration and
ovariohysterectomy (kufunga vizazi kwa madume na majike) and
many other surgical operation kwa mifugo ya nyumbani tu.....