pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kikePurely childish!Na hapa ndipo huwa tunapata majibu ya ufahamu,unyakuzi,upembuzi,uhakiki na kiwango cha umri katikauelewa wa mambo.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kikeMtanzania ukimuambia " wanasayansi wamesema mtu anayelala sana ana akili nyingi" tayari anaamini na kusambaza habari huku akiaminisha wenzie utafikiri alikua pamoja na hao wanasayansi maabara kwenye research, na wataalamu uchwara baada ya kugundua mTz ni kilaza wanaongea watakacho wanafahamu wataaminika.
Acha blah blah, huna credibility ya kumpinga Dr wewe Kilaza.Siku hizi kumeibuka Wataalamu wanaokuja na tafiti za uongo, na kutengeneza hofu kwa wananchi wengi lakini Serikali ipo kimya. Hawa watu hawafai hata kidogo.
Kuna mwingine atakuja kutuambia hata kutembea kilomita 5-10 kuna madhara.[emoji23][emoji23]
Tafiti za bila ushahidi ni sawa na makanisa ya akina Mwamposa.
Hili jambo linaanza kuvuka mipaka kutoka kwenye changamoto na kuelekea kuwa tatizo sugu.Anakurupuka mtu akiwa na sandarusi lake kutoka kuokota chupa za plastiki(sidhani kama dunia kuna chupa za plastiki)anaanza kubwatuka neno lolote lilio karibu na magego yake.Na cha ajabu,anaungwa mkono kipuuzi tu.Siku hizi kumeibuka Wataalamu wanaokuja na tafiti za uongo, na kutengeneza hofu kwa wananchi wengi lakini Serikali ipo kimya. Hawa watu hawafai hata kidogo.
Kuna mwingine atakuja kutuambia hata kutembea kilomita 5-10 kuna madhara.[emoji23][emoji23]
Tafiti za bila ushahidi ni sawa na makanisa ya akina Mwamposa.
Nakunywa pombe lakini sio bia, nazo nimeacha. Sinywi kilevi na sinywi soda.pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
homoni nyingi za kike alizonazo baada ya kunywa bia tayari zimeanza kumuathiriAcha blah blah, huna credibility ya kumpinga Dr wewe Kilaza.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kikeKwanza yule sio Dr ni muuza mitishamba tu! Sidhani kama yupo certified
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kikeHili jambo linaanza kuvuka mipaka kutoka kwenye changamoto na kuelekea kuwa tatizo sugu.Anakurupuka mtu akiwa na sandarusi lake kutoka kuokota chupa za plastiki(sidhani kama dunia kuna chupa za plastiki)anaanza kubwatuka neno lolote lilio karibu na magego yake.Na cha ajabu,anaungwa mkono kipuuzi tu.
XX na XY ni chromosomes, siyo hormones.Sio mtaalam wa biology ila nafahamu Mwanaume maana yake ni kuwa na uwezo wa kuzalisha mbegu zenye X na Y ambazo zinatengeneza mtoto either wa kiume au wa kike. Sasa Huo uwezo tu wa kutengeneza mbegu zinazotungisha mimba itakayoleta binti nafikiri tayari zinaashiria uwepo wa homon za kike mwilini.
hakikisha ukilibandika tu haraka sana unatoka nduki sawa mkuu?Ngoja hili bandiko nikalibandike kwenye zile Bar karibu na mtaani kwangu...
Kwa wenye akili watakudharau.Ngoja hili bandiko nikalibandike kwenye zile Bar karibu na mtaani kwangu...
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kikeKwa wenye akili watakudharau.
1-Inaonesha unawadharau wanawake akiwemo hata mama yako mzazi.
2-Ni mpokeaji wa mambo yasiyo na ushahidi wowote wa kitaalamu/mshankumpe.
3-Huwezi kujisimamia na kuitafuta kweli hadi kuijua/mdandiaji.
4-Huna utulivu wa nafsi kwa kujihoji ndani kwa ndani kimantiki(mkurupukaji)
5-Si mdadisi wa mambo kiuendelevu wake.Hujiulizi;Waliyotengeneza bia wanayajua haya?
6-Mueneza hoja zisizo na ushahidi kwa umma(kaongokaongo na macho juujuu).
Yanakutosha hayo.
kumbe ndo maana ushoga unashamiriSijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake
Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia.
Akhsante mtaalam kwa ukweli wako
View attachment 2875102
Mlevi huyo msamehe kaathiriwa na Pombe. Huu uzi auone Mshana JrXX na XY ni chromosomes, siyo hormones.
Chief hormone ya kiume ni testosterone
Nakushauri kwa wema tu.Usirudierudie sentensi moja kila wakati.Najua lengo lako ni kuudhi watu na kukera tu ili ufurahishe nafsi yako na za wanaokusapoti.Umeleta hoja huko ulipoitoa,sawa.Sasa,na wewe ijengee wigo isikuponyoke kwa udhaifu wa kutokuwa na ukweli wala uhakika wowote.Tutaiharibu JF kwa mahovyohovyo kama hayo.Badilika na uuache ushabiki wa mahovyohovyo.pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
Huyu Dr muongo sana. Kwa hiyo wanawake wanaokunywa pombe wana hormones za kiume. Angesema kwamba wanaokunywa pombe wanasababisha kuwa na hormone za kike labda ningefikiria kwa undani. Lakini siyo kwa shortcut evaluation kama hizi.Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake
Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia.
Akhsante mtaalam kwa ukweli wako
View attachment 2875102