Naona Sasa hivi dunia inakwenda kasi Sana, bado kidogo tu tufike katika Mfumo wa maisha ya Watu katika nchi za ughaibuni huko Magharibi ambako kila Mtu yupo nyumbani kwake amejifungia ndani ya geti lake. Hakuna kuombana chumvi, kutembeleana wala kusalimianaSasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume .
Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote .
Ukitaka kutoa Kutoa nenda vituo Vya watoto yatima.
Pia usitembee na mwanamke ambaye unakaa nae mtaa mmoja hata awe mzuri Kama malaika
Sasa Wanaume mnatafutwa kuharibiwa maisha kwa kila namna.
Na wewe usimpigie Mwanamke wala kumtafuta tofauti na issue za Kazi na kibiashara .
Jaribu kuwa smart and play smart.
Huu ndo mfumo rafiki SanaNaona Sasa hivi dunia inakwenda kasi Sana, bado kidogo tu tufike katika Mfumo wa maisha ya Watu katika nchi za Magharibi ambako kila Mtu yupo nyumbani kwake amejifungia ndani ya geti. Hakuna kuombana chumvi kutembeleana wala kusalimiana
Ni hizi familiar za kimaskiniNaona wanawake wameanza kufanya hii biashara .
Hii ilinitokeaga nikatumia akili kubwa ila lile geto niliwaachia wanaapolo wenzangu 🤣🤣Juzi kati kuna jamaa alimpeleka demu ghetto kwake so wakafanya yao kufika asubuhi jamaa anamwambia demu unaondoka saa ngapi? demu anamwambia niondoke niende wapi?
jamaa ndio ikawa kaoa hivyo bila ridhaa yake😃
Kuna mfumo mzazi anamtuma mtoto wake aje kwako umnunulie pipi na ukishamnunulia anakuja kukuambia kuwa unamuwinda mtoto wake.
So kilichopo ndo hicho
Haaahaa,Juzi kati kuna jamaa alimpeleka demu ghetto kwake so wakafanya yao kufika asubuhi jamaa anamwambia demu unaondoka saa ngapi? demu anamwambia niondoke niende wapi?
jamaa ndio ikawa kaoa hivyo bila ridhaa yake😃
That is hell.Mchezo unaofanana na huu walimu wamefanyiwa sana na wazazi wenye mabinti huko Singida
Katoto kanijileta unasema hapa nimepata na kama unavyojua vitoto vya Singidani si haba
Ile kanaingia geto tu kumbe kameshawapanga nduguze hawa hapa kimenuka walimu wengi wamepigwa ndoa za mkeka
Hahaha ulichomokaje hapoHii ilinitokeaga nikatumia akili kubwa ila lile geto niliwaachia wanaapolo wenzangu 🤣🤣
Na mnaopanga mag he to hakikisha mtu yeyote haingii kwako hata mwenye Nyumba