Nilikua nimeoa miezi michache tu sasa mama watoto alienda kujifungulia nyumbani kwetu, ikawa kuna kidemu kilinitesa kunipa tunda tangu kipo form one hadi form 4, sasa kilipoona nimeoa kikaungana na mamaake kunikomoa.
Unaweza kushangaa kwanini alikua ni mwanafunzi huku akiwa anashirikiana na mamaake kumbe kipindi hicho walikuwa wakinichuna huku mamaake akiwa ndio anampanga.
Sasa nilipooa ilikua ni jambo lililowachukiza sana hivyo naona mamaake ndio alimpanga ajilengeshe mwenyewe alafu akatae kuondoka. Kikajilengesha na nilivyokuwa na hamu nacho, kilipokuja mchana mimi nikajifungia nacho hadi kesho yake asubuhi.
Asubuhi kikawa hakitaki neno lolote zaidi ya kwamba tumeoana. Nilikua mpole kikataka mayai nikaenda kuleta tukachemsha tukala, tukaendelea kuenjoy ilipofika alasiri nikakipanga kwakuwa hatukujiandaa kirudi kwao wala kisimdanganye mamake bali kimwambie nakioa, kikauliza vipi mke wangu niliyemuoa? Nikakiambia ameenda kujifungulia kwao hivyo sina mpango nae mke wangu atakua ni yeye.... Sound sound kikajaa nikakiambia twende nikuache nyumbani kwenu mimi nipande camp kuchek sababu nasikia madini yametoka.
Alivyokubali maelezo yangu tukatoka mimi nikatuma marafiki zangu wakaniletee vitu muhimu kule nikashuka navyo Arusha geto nikawaachia.
Juzi mwaka mpya kuna hotel nilienda nikamkuta yupo pale nikala kona nikapeleleza kwa dereva fulani akaniambia anajiuza telegram mikoa tofautitofauti.... Nilisikitika sana